Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Kuna tatizo kubwa kwenyd ndoa yenu.Binadam akiwa hali chakula kama inavyotakiwa hupelekwa hosptl kwani ni lazima kutakua na tatizo.Na mke wako atakua na matatizo.Kama ham yake iko chini aeleze mtafute solution,kama hataki kuna tatizo ambalo ni serious!
Haya mambo yakupeana ugal kume yabidi yachukuliwe kwa uzito wake badala ya kupigwa kijuujuu tu....Eiyer
Last edited by a moderator: