Kupiga bibi jamani si ustaaarabu!!!!!!


mimi kuna mwanamke mmoja nilisoma nae yeye mwenyewe kuna time huwa anasema mwili unamwasha anatamani adundwe na maza wake sasa huyu akienda kwa mtu asiejua kupiga hakawii kudai talaka. Kwa wengine kupigwa ni sehemu ya mapenzi....
 
mimi kuna mwanamke mmoja nilisoma nae yeye mwenyewe kuna time huwa anasema mwili unamwasha anatamani adundwe na maza wake sasa huyu akienda kwa mtu asiejua kupiga hakawii kudai talaka. Kwa wengine kupigwa ni sehemu ya mapenzi....

na dhani piga aliyoongelea huyu CHIKO si ya mapenzi
bali ni ile ya abuse .. mie hiyo ndo naipiga mwiko..

ya mapenzi hiyo hata mie naijua
na ina raha yake dear..
 
Wengine maneno hawayaelewi, unaonya ,unakanya, unashauri yeye kila siku jeuri tu , halafu anakupandisha hasira , kama binadamu hasira ikizidi unategemea nini-magumi? Lakini anayepigwa akielewa kosa lake, aah siku tatu hao wote shopping kama alivyosema mtoa mada, an life goes on! si ndo dunia ilivyo, na nahisi itabaki hivyo.
 

kweli sikubaliani nawe..
unajua ukimpiga mwanamke
hauja muumiza mwili tu..
mateso ya moyo atakayo ishi nayo hutayatambua
na hata kuonyesha..
espacially kama mna watoto nani mwanamke wa kiafrica (sio wote)
atachukua vipigo vyote na kukuacha hakuachi ajili ya familia..

eti "life goes on"
life goes on na mwenzio anaishi namateso ya moyo..
pole sana dear dunia haiko hivyo sasa hivi..
hakuna kitu kibaya kama kumpiga mwanamke
atakaye kuzalia au alie kuzalia..
 

siamini ur support women physical abuse! shindwa na ushindweeeeeee
 

Kumpa mangumi demu ni sign of weakness!
Kama hakusikilizi na anakudharau na unampa somo bado jeuri si umtimue ama uanze zako tu. Kumpiga mwanamke haisaidii na ndio utazidi kumpa jeuri:coffee:
 
BAK unadhani kwa nini nawatamani,niwape khabar yao...


Mmesikia hiyo wanaume, siku hizi female wanakimbilia kuvuta sehemu nyeti, hivyo kama una ugonvi na demu linda sana hizo sehemu maana ndio nguzo yetu/nyeti, ikiwezekana shambulia na mateke/mkono mmoja mwingine uweke defense kwenye nyeti.

Kwa vyovyote vile kupigana haifai, lakini siku hizi hata wanawake ni waanzilishi wa vita hivyo lazima wanaume wajibu mapigo hawawezi kaa kimya kwa hilo.
 

Karibu Dada, waambieni wenzenu wajichunge na hii hatari, Mtu kupigwa tuu, kama ambae kafukuzwa kwao!!!!!!!
 

Kweli kabisa Afro, alafu angalia watoto, unakuza kizazi gani jamani!!, Majirani nao watazima Redioo!!!
 


ndugu kuna kitu kinaitwa malango kwenye biblia..ukifanya mapping kwenye maisha ya huyo bwana unawezaona anapiga lakini si yeye ndugu malango ni kitu kibaya sana sana..uko nyuma unawezaona babake n mamke walikuwa wakitwangwana sana sana ndio maana nasisitiza kabla ya kuoana fanya mapping ya mwenzako..usije sema mungu amekuacha wakati we umecheelewa kufika..kingine jaribu ulishinde kwa kupambana nalo si kukimbia mambo ya blanket usiumize moyo mpe ukweli kama jiran anza off
 
Mie huwa najiuliza huyu anayepiga mke au girl friend je dada yake anaweza mpiga hivyo?
Ni unyama mkubwa na kutokumjali mwenzio ndio maana hata kumuumiza waona sawa

Tabia mbaya kabisa kama mmeshindana bora kuachana si kutoana ngeu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…