Kupiga chafya asubuhi.

Kupiga chafya asubuhi.

adammbuya

Member
Joined
Oct 25, 2015
Posts
14
Reaction score
13
Ndugu habari za hapa naomba kujua kupiga chafya asubuhi niugonjwa au hali yakawaida? pia umalizapo kuoga nakuanza kupiga chafya njingi niugonjwa au nihali yakawaida asanteni.
 
Jana nilikohoa sana baada ya kumaliza kuoga,, au yanalandana
 
Hata mimi inanitokea kila siku mpaka nimeshazowea. Ikitokea nimeamka na sijapiga chafya basi huwa najiona mchovu sana na hata nkiingia darasani basi lazima nisinzie.
Kwangu huwa nachukulia kuwa nikipiga chafya basi hapo ndo nimeamka, kuanzia mwili mpaka akili.
 
Kawaida sana mkuu usijali ila wengine wenye allergy huwatokea
 
Hata mimi ni kawaida tena kama kipindi hiki kuna kibaridi ndio balaa mpaka 7 zinafika,labda nisubirie mdau mwenye dawa ya hili,maana mimi hata usingizi ukikatika usiku huwa napiga chafya.
 
Inategemea yaweza kuwa dalili za mafua. Alafu hiyo ya baada ya kutoka kuoga sabuni unayotumia kuogea huwa ndo inasababisha
 
Bjiepushe na mazingira ya vumbi uturi mkali mkali oga maji ya uvuguvugu,utapunguza hilo tatizo. Bila shaka una allergy
 
pia labda imesababshwa na vumbi la neti yako unayotumia
 
Back
Top Bottom