Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,912 Aug 14, 2013 #1 Dr. wa JF Naomba kufahamishwa mimi kila ninapolala pindi niamkapo lazima nipige chafya mara tatu au mara nne. Hii haijalishi nimelala mchana au usiku na kuamka muda wowote. Je hili ni tatizo kiafya?
Dr. wa JF Naomba kufahamishwa mimi kila ninapolala pindi niamkapo lazima nipige chafya mara tatu au mara nne. Hii haijalishi nimelala mchana au usiku na kuamka muda wowote. Je hili ni tatizo kiafya?