Kupiga Chafya kila niamkapo ni tatizo?

Kupiga Chafya kila niamkapo ni tatizo?

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Dr. wa JF

Naomba kufahamishwa mimi kila ninapolala pindi niamkapo lazima nipige chafya mara tatu au mara nne. Hii haijalishi nimelala mchana au usiku na kuamka muda wowote.

Je hili ni tatizo kiafya?
 
Back
Top Bottom