dorge Senior Member Joined Feb 7, 2025 Posts 118 Reaction score 186 Feb 28, 2025 #1 Siwez kujihangaisha. Nipige wajihalalishie Tonge wakati mimi nateseka. Marekani ukipiga kura ina impact kubwa kwa taifa
Siwez kujihangaisha. Nipige wajihalalishie Tonge wakati mimi nateseka. Marekani ukipiga kura ina impact kubwa kwa taifa
hewamkaa Member Joined Mar 30, 2023 Posts 85 Reaction score 127 Feb 28, 2025 #2 Umeshataja impact ya uchaguzi wetu sasa unachotaka ni nini