Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishawahi kuweka Post hapa kwamba inawezekana kupiga kura ukiwa popote duniani kwa kutumia Database kama vile unavyo tumia ATM Card, ukishatoa pesa itakwambia kuwa ushatoa.
majibu haya sidhani kama yalikuwa yanakubalika tanzania kabla
so hadi sasa sijapata jibu sahihi , kuna mtu ananiuliza ili akapige kura na yeye yupo mbali na mahali alipojiandikisha
Nimesikia tetesi kuwa inawezekana kwa mtu kupiga kura ya urais mahali popote hata pale ambapo hajaiandikisha, je swala hilo lina ukweli kiasi gani?
Wenye taarifa sahihi mtujulishe jamani