1 1952 Senior Member Joined Mar 29, 2014 Posts 109 Reaction score 38 Mar 8, 2015 #1 Leo katika mahubiri katika Kanisa letu la Katoliki tumepewa semina juu ya Katiba Pendekezwa na kushauriwa kupiga KURA YA HAPANA kwa Katiba Pendekezwa. Sisi kwa pamoja tumekubali kupiga kura ya HAPANA.
Leo katika mahubiri katika Kanisa letu la Katoliki tumepewa semina juu ya Katiba Pendekezwa na kushauriwa kupiga KURA YA HAPANA kwa Katiba Pendekezwa. Sisi kwa pamoja tumekubali kupiga kura ya HAPANA.