Kupiga kura ya hapana katiba pendekezwa

Kupiga kura ya hapana katiba pendekezwa

1952

Senior Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
109
Reaction score
38
Leo katika mahubiri katika Kanisa letu la Katoliki tumepewa semina juu ya Katiba Pendekezwa na kushauriwa kupiga KURA YA HAPANA kwa Katiba Pendekezwa. Sisi kwa pamoja tumekubali kupiga kura ya HAPANA.
 
Back
Top Bottom