Kupiga magoti harusini!

Kupiga magoti harusini!

Gorgeous96

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2019
Posts
293
Reaction score
691
Ni sahihi mwanamke kutambaa kwa magoti wakati wa kupeleka keki kwa wakwe?
Kwa mlio wahi kupiga magoti ukumbini au kushuhudia mna maoni gani kwenye swala hili?

 
Wengine huwa wanaamua wenyewe kutoka moyoni. Na mfano mzuri ni baadhi ya mabinti wa Kihehe na Kibena! Hawa viumbe wengi wao wana adabu mpaka wanakera!

Yaani hawaigizi kama wale wenzangu wa Uzaramoni.
 
Back
Top Bottom