Kwani mlikuwa hamruhusiwi kukaa na hela??mshua alikuwa akija na benzi jeusi, lakini nyuma ya shilingi nilikuwa naachiwa mia 500 na panadoli...hakukuwa na njia nyingine zaidi ya kuuza magodoro ya wazembe ama kubadilishana na sahani ya wali kwa mama gumbo
kulikuwa na sababu mkuuKwani mlikuwa hamruhusiwi kukaa na hela??
Huu ndo mchezo wa mdogo angu, anatuma kwa baba, mama, dada yake na mimi message ile ile. Mwanzo hatukujua, Mungu si athumani siku tuko kikao cha familia zikaingia message muda mmoja kusoma kila mmoja anasema ngoja nimtumie fulani pesa, tukaonyeshana. Kwakua ni binti tukamtumia visije vidume vikahudumia. Now ashamaliza chuo ana kazi kaolewa akija kunitembelea nikimwambia anaishia kucheka tuHaa ha ha...uliwawezaa!! sema ungezidishaa wangeshtukiaa
Aisee ulikuwa mwema Sana...Sema sababu ulikuwa wakikee piaa...sisi videmu kutaka makuu akati uwezoo duni so lazima upigee mazingaKati ya vitu sijawahi kufanya ni kudanganya kwenye kuomba pesa nyumbani. Kwanza sikuwa muombaji wa pesa, nikipewa hiyo hiyo naridhika mpaka labda itokee inahitajika pesa na ni hitaji la msingi ndio naomba.
Haa ha ha Hugo alikuwa mafiaa...!! kwa wakati mmojaHuu ndo mchezo wa mdogo angu, anatuma kwa baba, mama, dada yake na mimi message ile ile. Mwanzo hatukujua, Mungu si athumani siku tuko kikao cha familia zikaingia message muda mmoja kusoma kila mmoja anasema ngoja nimtumie fulani pesa, tukaonyeshana. Kwakua ni binti tukamtumia visije vidume vikahudumia. Now ashamaliza chuo ana kazi kaolewa akija kunitembelea nikimwambia anaishia kucheka tu