rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Aisee kuwa BABA wa familia yataka moyo Sana maana kuna muda Unakuta mwanao anaomba hela unajua kabisaa hapa napigwa Kibomu aisee hasa mwanao akiwa mwanafunzi.... Mimi nlipokuwa mwanafunzi nimekula Sana hela za vitabu na kuna kipindi nikampiga mzee mzinga wa hela ya miwani aisee utoto kazi afu hela yenyewe nlienda kutumia na manzi...
Tuambie enzi unasoma ulidanganya nini upate helaa...!!??? Kwa wazee ulidanganywa nini na ulijua kuwa umedanganywa still ukatoa hela???
Tuambie enzi unasoma ulidanganya nini upate helaa...!!??? Kwa wazee ulidanganywa nini na ulijua kuwa umedanganywa still ukatoa hela???