Kupiga nye*o

Kupiga nye*o

dazipozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
1,137
Reaction score
106
Mambo vp?salama wakubwa mimi nikijana nina tatizo lakupga nyeto kila siku,yni nikiwaza Ngono lazima nitpga 2 nyeto,cpgi kwa sabuni apana napiga kwa maji,kila nkjribu kuacha nashindwa nifanyaje?ebu nipeni njia ya kuacha kpga nyeto,tangu nizaliwe cjawai kfnya mpnzi I ned help ma frnd nataka niache nashindwa
 
jiandae kuwa kuni za jehanamu ndugu
 
Amua mwenyewe kuacha na tafuta msaada wa Maombi...........hakuna lisilowezekana kwa Mungu. Pole sana.
 
Du! sasa we si umeshamaliza madem wote mtaa mzima na hizo punyeto zako? nakushauri umuone tu mtaalam akushauri ni mbaya sana
 
Mambo vp?salama wakubwa mimi nikijana nina tatizo lakupga nyeto kila siku,yni nikiwaza Ngono lazima nitpga 2 nyeto,cpgi kwa sabuni apana napiga kwa maji,kila nkjribu kuacha nashindwa nifanyaje?ebu nipeni njia ya kuacha kpga nyeto,tangu nizaliwe cjawai kfnya mpnzi I ned help ma frnd nataka niache nashindwa

Karibu JF ndugu.

ushauri pekee, Acha kuwa domo zege, tafuta mpenzi ili uweze maliza shida zako huko. Loh!
 
Dazipozi,

ujifunze kusalimia wenyeji wa nyumba.........yaani unaingia hata salaam hakuna, unaanza tu kueleza shida zako!!

Karibu sana mkuu.
 
PM me... maana nikikwambia hapa what I think about this DASA atabisha tena na itakua mjadala mpya... ;-)
 
Maamuzi binafsi ndyo yatakayokufanya uache,duh!halafu hayo maji unayopgia nyeto unayanywa?tafuta demu itakuwa ngumu kutongoza direct but anza kutongoza kwa njia ya simu then chakachua kwa ku2mia condom,epuka kukaa peke yako!AKILI ZA MBAYUWAYU CHANGANYA NA ZAKO
 
Pole sana ndugu, tatizo lako nila saikolojia. Mwombe mungu atakusaidi ila omba ukiwa na dhamira ya kuacha
 
acha hizo ndg badilisha utaratibu wako wa maisha omba ushauri kwa wataalum afya,dini nk.
 
Pole sana ndugu, cha msingi jaribu kujipa kazi kila wakati zitakazokufanya uwe bize na kuondokana na mawazo ya kuwaza Ngono, Pia inakubidi usiwe mpweke jichanganye na wenzako na kushiriki michezo mbalimbali ili kukupotezea mawazo ya kufanya ngono. Na mwisho Muombe Mungu sana yeye ndiye muweza wa yote na Matokeo utayaona.
 
jikeep busy mkuu,usiwe idol sanaa,then tafuta demu mweleze tatizo lako ili akusaidie ukisikia kupiga nyeto tu mshtue...zaidi kamuone mtaalaamu
 
Back
Top Bottom