Chereko tena
JF-Expert Member
- Dec 9, 2019
- 467
- 520
Wakuu naombeni mnieleweshe Kuna story nimezisikia kijiweni kuwa mtu tangu kubalehe Hadi leo karbu miaka 40 bado hajaamua kuunga juhudi za waoaji,wanawake nao imekuwa fashioni unasikia naenda kulala kwa Bettina,au unamtongoza miaka anajidai yupo bize kumbe ndani Kuna dildos za kutosha ,je lini wataacha kupiga punyeto Ni watu wazima kabisa