Kupiga nyumba rangi

Kupiga nyumba rangi

bet

Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
10
Reaction score
1
Wana jamvi poleni na majukumu.

Naomba ushauri kutoka kwenu kuhusu upakaji rangi kwenye nyumba.

Nimepata ugumu au shida katika kufanya maamuzi kwa haya yafuatayo.
1. Kuna upakaji wa rangi kwenye nyumba ambao ni wa kawaida tuliouzoea kwa kutumia rangi za kawaida
2. Kuna upakaji mwingine ambao nyumba ikipakwa inakuwa kama ina mchelemchele au ulezi elezi hivi
3. Muonekano mwingine ni huu unaoonekana kama nyumba imekua rough uniformly na ni zuri kwa muonekano.

Ombi langu wadau na wajuzi wa haya mambo naombeni ushauri wa aina ya finishing/muonekano/upakaji wa rangi wa nyumba, uzuri, faida na hasara bila kusahau gharama.

Nitashukuru kwa ushauri
 
Kila kitu kinategemea na mfukoni una nini, twaweza kukushauri utumie mchelemchele, kumbe uwezo wako ni wa kupaka undercoat tu.
 
Kila kitu kinategemea na mfukoni una nini, twaweza kukushauri utumie mchelemchele, kumbe uwezo wako ni wa kupaka undercoat tu.

KakaJambazi
Nadhani pesa anatafutwa.. Hilo sio shida. Shida yangu ni kitu kizuri. Ningepata kusaidiwaw ni kipi kizuri ningeshukuru sana
 
Kaka hiyo ya mchelemchele kama kaulezi fulani kwa mbali nami nimekatamani sana niliona hotel moja Arusha (Lush Garden) nikaipenda sana

Kama kuna mtaalam anisaidie kujua wastani wa gharama zake kwa Mita 1 ya eneo
 
Back
Top Bottom