Wana jamvi poleni na majukumu.
Naomba ushauri kutoka kwenu kuhusu upakaji rangi kwenye nyumba.
Nimepata ugumu au shida katika kufanya maamuzi kwa haya yafuatayo.
1. Kuna upakaji wa rangi kwenye nyumba ambao ni wa kawaida tuliouzoea kwa kutumia rangi za kawaida
2. Kuna upakaji mwingine ambao nyumba ikipakwa inakuwa kama ina mchelemchele au ulezi elezi hivi
3. Muonekano mwingine ni huu unaoonekana kama nyumba imekua rough uniformly na ni zuri kwa muonekano.
Ombi langu wadau na wajuzi wa haya mambo naombeni ushauri wa aina ya finishing/muonekano/upakaji wa rangi wa nyumba, uzuri, faida na hasara bila kusahau gharama.
Nitashukuru kwa ushauri