Msihukumu, msijekuhukumiwa.Kasome vizuri biblia kijana. Ukristo upo imara na Sheria zipo wazi ila mnaojiita wakristo ndyo mnapotosha na kumsingizia Mungu ahukumu kesi ya Malaya kupiga picha kanisani.
Yesu mwenyewe alipoona hekaluni kunafanyika mambo siyo alivunja kila kitu na pengine biblia inaficha vingine yawezekana Kuna ambao walichezea Hadi makofi.
Mungu ahukumu kesi ya mpiga picha za uchi kanisani wakati huo wewe umekaa tu. Heko waislamu wanaompunguzia Mungu majukumu kwa kesi ambazo wao wenyewe wanaweza kuamua.
Huyu alipaswa apigwe mitama ya kimo Cha mbuzi hapo hapo na mpiga picha avunjuwe kamera yake au simu anayotumia kupiga.
Furushi la taifaMzigo wa Taifa
Hamia huko unakoona ndio sawa na sio kuja kutugombeza huku kwenye sosho midiaHii ndiyo maana ya neno "ukristo unachezewa". Angejaribu kufanya huo ujinga wake mbele ya msikiti alafu ungeona jinsi waislamu wangemshukia Kama mwewe. Wenzetu wanajua jinsi ya kutunza maadili kabla ya kumuhusisha Mungu vitu vidogo Kama hiki.
Wakristo hii kauli ya Mungu ndiye atakayehukumu ndiyo imetufikisha hapa. Ukristo umegeuka Kama kichwa Cha mwendawazimu kila mtu anachezea na kufanya anavyotaka.
Hii ni dharau kubwa sana.
Hamia Uislamu basi, mbona misikiti mingi hata mtaani kwako? Usituchoshe na imani za dini za vitisho!!Hii ndiyo maana ya neno "ukristo unachezewa". Angejaribu kufanya huo ujinga wake mbele ya msikiti alafu ungeona jinsi waislamu wangemshukia Kama mwewe. Wenzetu wanajua jinsi ya kutunza maadili kabla ya kumuhusisha Mungu vitu vidogo Kama hiki.
Wakristo hii kauli ya Mungu ndiye atakayehukumu ndiyo imetufikisha hapa. Ukristo umegeuka Kama kichwa Cha mwendawazimu kila mtu anachezea na kufanya anavyotaka.
Hii ni dharau kubwa sana.
Hii ndiyo maana ya neno "ukristo unachezewa". Angejaribu kufanya huo ujinga wake mbele ya msikiti alafu ungeona jinsi waislamu wangemshukia Kama mwewe. Wenzetu wanajua jinsi ya kutunza maadili kabla ya kumuhusisha Mungu vitu vidogo Kama hiki.
Wakristo hii kauli ya Mungu ndiye atakayehukumu ndiyo imetufikisha hapa. Ukristo umegeuka Kama kichwa Cha mwendawazimu kila mtu anachezea na kufanya anavyotaka.
Hii ni dharau kubwa sana.
You mean waislamu wanatakiwa kutufundisha jinsi ya kua illogicalBila Shaka wewe ni mkristo. Ndiyo maana unaona Jambo la kawaida sana Hili.
Nakuhakikishia picha moja hii hii ingekuwa Hilo jengo ni msikiti reaction yake ingekuwa tofauti kabisa na ulichokommenti.
Waislamu wanapaswa kutufunza nini maana ya maadili.
Unamaanisha nini?You mean waislamu wanatakiwa kutufundisha jinsi ya kua illogical
Ukristo ni dini rafiki sanaHii ndiyo maana ya neno "ukristo unachezewa". Angejaribu kufanya huo ujinga wake mbele ya msikiti alafu ungeona jinsi waislamu wangemshukia Kama mwewe. Wenzetu wanajua jinsi ya kutunza maadili kabla ya kumuhusisha Mungu vitu vidogo Kama hiki.
Wakristo hii kauli ya Mungu ndiye atakayehukumu ndiyo imetufikisha hapa. Ukristo umegeuka Kama kichwa Cha mwendawazimu kila mtu anachezea na kufanya anavyotaka.
Hii ni dharau kubwa sana.
Huyu si mbuzi mkuu? ni aina gani ya ibada hii??.View attachment 2608238View attachment 2608238ππ»ββοΈ
ndo watu wapo ibadani apo mkuuHuyu si mbuzi mkuu? ni aina gani ya ibada hii??.
Mh hapa no comment mkuu.ndo watu wapo ibadani apo mkuu
π€£π€£π€£View attachment 2608238View attachment 2608238ππ»ββοΈ
Mungu hana mwakilishi duniani,acha kumpigania atachipigania mwenyeweBila Shaka wewe ni mkristo. Ndiyo maana unaona Jambo la kawaida sana Hili.
Nakuhakikishia picha moja hii hii ingekuwa Hilo jengo ni msikiti reaction yake ingekuwa tofauti kabisa na ulichokommenti.
Waislamu wanapaswa kutufunza nini maana ya maadili.