Kupiga picha ni art! Check this...

Kupiga picha ni art! Check this...

Sio kwamba unachokiona kwa ukubwa ndio kilichojaza moyo wako [emoji4]
 
Kasome vizuri biblia kijana. Ukristo upo imara na Sheria zipo wazi ila mnaojiita wakristo ndyo mnapotosha na kumsingizia Mungu ahukumu kesi ya Malaya kupiga picha kanisani.

Yesu mwenyewe alipoona hekaluni kunafanyika mambo siyo alivunja kila kitu na pengine biblia inaficha vingine yawezekana Kuna ambao walichezea Hadi makofi.

Mungu ahukumu kesi ya mpiga picha za uchi kanisani wakati huo wewe umekaa tu. Heko waislamu wanaompunguzia Mungu majukumu kwa kesi ambazo wao wenyewe wanaweza kuamua.

Huyu alipaswa apigwe mitama ya kimo Cha mbuzi hapo hapo na mpiga picha avunjuwe kamera yake au simu anayotumia kupiga.
Msihukumu, msijekuhukumiwa.
 
Hii ndiyo maana ya neno "ukristo unachezewa". Angejaribu kufanya huo ujinga wake mbele ya msikiti alafu ungeona jinsi waislamu wangemshukia Kama mwewe. Wenzetu wanajua jinsi ya kutunza maadili kabla ya kumuhusisha Mungu vitu vidogo Kama hiki.

Wakristo hii kauli ya Mungu ndiye atakayehukumu ndiyo imetufikisha hapa. Ukristo umegeuka Kama kichwa Cha mwendawazimu kila mtu anachezea na kufanya anavyotaka.

Hii ni dharau kubwa sana.
Hamia huko unakoona ndio sawa na sio kuja kutugombeza huku kwenye sosho midia
 
Hii ndiyo maana ya neno "ukristo unachezewa". Angejaribu kufanya huo ujinga wake mbele ya msikiti alafu ungeona jinsi waislamu wangemshukia Kama mwewe. Wenzetu wanajua jinsi ya kutunza maadili kabla ya kumuhusisha Mungu vitu vidogo Kama hiki.

Wakristo hii kauli ya Mungu ndiye atakayehukumu ndiyo imetufikisha hapa. Ukristo umegeuka Kama kichwa Cha mwendawazimu kila mtu anachezea na kufanya anavyotaka.

Hii ni dharau kubwa sana.
Hamia Uislamu basi, mbona misikiti mingi hata mtaani kwako? Usituchoshe na imani za dini za vitisho!!

Maisha yenyewe mafupi bado unataka mtu aisha kama jehanam
 
Hii ndiyo maana ya neno "ukristo unachezewa". Angejaribu kufanya huo ujinga wake mbele ya msikiti alafu ungeona jinsi waislamu wangemshukia Kama mwewe. Wenzetu wanajua jinsi ya kutunza maadili kabla ya kumuhusisha Mungu vitu vidogo Kama hiki.

Wakristo hii kauli ya Mungu ndiye atakayehukumu ndiyo imetufikisha hapa. Ukristo umegeuka Kama kichwa Cha mwendawazimu kila mtu anachezea na kufanya anavyotaka.

Hii ni dharau kubwa sana.
IMG_20230426_191150.jpg
IMG_20230426_191150.jpg
🙆🏻‍♂️
 
Bila Shaka wewe ni mkristo. Ndiyo maana unaona Jambo la kawaida sana Hili.

Nakuhakikishia picha moja hii hii ingekuwa Hilo jengo ni msikiti reaction yake ingekuwa tofauti kabisa na ulichokommenti.

Waislamu wanapaswa kutufunza nini maana ya maadili.
You mean waislamu wanatakiwa kutufundisha jinsi ya kua illogical
 
Hii ndiyo maana ya neno "ukristo unachezewa". Angejaribu kufanya huo ujinga wake mbele ya msikiti alafu ungeona jinsi waislamu wangemshukia Kama mwewe. Wenzetu wanajua jinsi ya kutunza maadili kabla ya kumuhusisha Mungu vitu vidogo Kama hiki.

Wakristo hii kauli ya Mungu ndiye atakayehukumu ndiyo imetufikisha hapa. Ukristo umegeuka Kama kichwa Cha mwendawazimu kila mtu anachezea na kufanya anavyotaka.

Hii ni dharau kubwa sana.
Ukristo ni dini rafiki sana
 
Bila Shaka wewe ni mkristo. Ndiyo maana unaona Jambo la kawaida sana Hili.

Nakuhakikishia picha moja hii hii ingekuwa Hilo jengo ni msikiti reaction yake ingekuwa tofauti kabisa na ulichokommenti.

Waislamu wanapaswa kutufunza nini maana ya maadili.
Mungu hana mwakilishi duniani,acha kumpigania atachipigania mwenyewe

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Samahani wadau huyo chini kavaa viatu gani?
 
Back
Top Bottom