Kupiga rangi gari-naomba mwongozo

Gsana

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
4,383
Reaction score
1,337
Salaam wanaJf, samahani sana kwa kuwa sina uhakika kama apa ni jukwaa sahihi, ila tuvumiliane na kusaidiana . Ni kuwa kuwa gari yangu corola E100 nataka kuibadili rangi kutoka nyeupe kuwa light blue metalic.

Tafadhali kwa wazoefu wa dar sehemu za ukweli ni wapi naweza kupata gereji ya uhakika na gharama nafuu....tafadhali kwa mwenye kujua anielekeze mana tar 21 mwezi huu nataka kufanya ivyo.

Yani nahitaji kupata wataalam ni si bora rangi...Nipe mwongozo wazoefu...mchana mwema. Note: naomba kujua wapi na ni kiasi gani ni pazuri...pia wapi naweza kupata vifaa vizuri vya music wa gari,tv ya gari,woofer na ream nzuri, na bei zake...Tafadhali.
 
Mulugo unana haya yan kaambiw we nenda kaandke utasaidiwa maye kajichagulia bila logic,akapost
 
mulugo unana haya yan kaambiw we nenda kaandke utasaidiwa maye kajichagulia bila logic,akapost

aya bhna , ila wenye akili wame ni pm wanazidi kunisaidia ....asante mana mchango wako pia ni mzuri na nimeuingiiza kenye 'hansard' zangu.
 
Just after junction ya rosegarden na kwenda town old b.road on ur right Kuna garage nzuri
 
Salaam wanaJf, samahani sana kwa kuwa sina uhakika kama apa ni jukwaa sahihi, ila tuvumiliane na kusaidiana . Ni kuwa kuwa gari yangu corola E100 nataka kuibadili rangi kutoka nyeupe kuwa light blue metalic...

hebu fafanua uwezo wako maanake kama unataka quality pitia summary hapo chini:
rangi blue metallic tsh 1,500,000
music+tv system tsh 1,200,000
rims(alloys+tyres) tsh 900,000
total tsh 3,600,000
kwa bei hizi MWONGOZO wangu ni ongeza hela kidogo tafuta E100(yard) ya blue ingine nunua.........
 
mzee piga hii namba 0654550665. kuna jamaa mmoja yuko garage kwake mitaa ya urafiki anatisha. kiwango juu kuliko wachina lakini bei nafuu.
 
pole sana kwaa majibu ya kukukejeli Mkuu wangu.

nilikua na the same problem nikaelekezwa kwenda garage ya wachina iko Kijitonyama na fundi wao Mkuu anaitwa Kalvin aisee ukiuona mkoko lazima uugeuzie macho Mkuu.

so nakusihi uende maeneo ya Kijitonyama then ulizia Garage ya wachina, kama unatokea Mwenge ukifika Sayansi/ costech pinda kulia kwenye - mataa pale then nenda mbele kama mita mia mbili uliza hiyo garage utaipata kirahisi mkuu.
 

Kula kike mkuu
 
Shingapi walikucharge ulipopeleka gari yako. Ulipiga rangi gari yote?
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…