Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,337
Salaam wanaJf, samahani sana kwa kuwa sina uhakika kama apa ni jukwaa sahihi, ila tuvumiliane na kusaidiana . Ni kuwa kuwa gari yangu corola E100 nataka kuibadili rangi kutoka nyeupe kuwa light blue metalic.
Tafadhali kwa wazoefu wa dar sehemu za ukweli ni wapi naweza kupata gereji ya uhakika na gharama nafuu....tafadhali kwa mwenye kujua anielekeze mana tar 21 mwezi huu nataka kufanya ivyo.
Yani nahitaji kupata wataalam ni si bora rangi...Nipe mwongozo wazoefu...mchana mwema. Note: naomba kujua wapi na ni kiasi gani ni pazuri...pia wapi naweza kupata vifaa vizuri vya music wa gari,tv ya gari,woofer na ream nzuri, na bei zake...Tafadhali.