Kupiga teke koni ya mazoezi na kurusha fimbo ya kibendera kama mkuki ipi ina hatari zaidi?

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Nimeshangazwa na aina na kiwango cha adhabu ambacho kimetolewa hivi karibuni na Bodi ya Ligi dhidi ya mchezaji wa Singida BS Jonathan Sowah na kocha wa viungo wa Simba.

Kocha wa viungo wa Simba, Ruedoh Berdien amepewa adhabu ya kufungiwa kwa mechi tatu pamoja na faini ya shilingi milioni 1 kwa kosa la kupiga teke koni kuelekea uelekeo wa benchi la ufundi la timu ya Singida.

Wakati huo huo, Jonathan Sowah amepewa adhabu ya shilingi milioni 1 tu kwa kosa la kuwatukana kwa ishara mashabiki na pia kunyofoa fimbo ya kibendera na kuirusha kama mkuki kuelekea kwa mashabiki hao ambao miongoni mwao walikuwepo wanawake na watoto.

Kwa mtazamo wangu, hakuna uwiano sahihi katika adhabu hizi kulingana na uzito wa makosa yenyewe.
 
Ingetakiwa ile fimbo ya Bendera ilivyorushwa kama mkuki ikakite kwenye tako la shabiki mkoja wa Simba ili aende akamuoneshe mkewe aitoe.

Pumbavu wakubwa nyie. Kama hamtaki kufungwa nyie na marefa wenu na TFF pia na libodi lenu si mcheze vyumbani mwenu.
 
Ingetakiwa ile fimbo ya Bendera ilivyorushwa kama mkuki ikakite kwenye tako la shabiki mkoja wa Simba ili aende akamuoneshe mkewe aitoe.

Pumbavu wakubwa nyie. Kama hamtaki kufungwa nyie na marefa wenu na TFF pia ja libodi lenu si machete vyumbani mwenu.
Si kila mtu anapenda kuingiziwa vitu nyuma kama nyie mnavyopenda kuingiziana mwiko halafu mnaenda kusongea ugali
 
Ingetakiwa ile fimbo ya Bendera ilivyorushwa kama mkuki ikakite kwenye tako la shabiki mkoja wa Simba ili aende akamuoneshe mkewe aitoe.

Pumbavu wakubwa nyie. Kama hamtaki kufungwa nyie na marefa wenu na TFF pia ja libodi lenu si machete vyumbani mwenu.
Duh!!
 
Vitendo vyote viwili ni vya kihuni na havifai kwa uhai wa soka letu...
Matukio haya yanatofautiana sana. Siku zote katika sheria, adhabu huwa zinatofautiana kulingana na aina na uzito wa kosa. Katika adhabu hizi, Bodi ni kama wametoa adhabu kinyume na haziendani na aina na uzito wa hayo matukio.
 
Siku zote katika sheria, adhabu huwa zinatofautiana kulingana na aina na uzito wa kosa. Katika adhabu hizi, Bodi ni kama wametoa adhabu kinyume na haziendani na aina na uzito wa hayo matukio.
Umeeleweka... Ulitaka kama ni fain wote wapigwe sawa!?
Pengine kabla ya kutoa hizo adhabu walifikiria kama wewe..

Mwalimu akifanya kosa adhabu yake haiwezi kuwa sawasawa na adhabu atayakayopewa mwanafunzi aliyefanya kosa lilelile...
 
Sowah siyo mwanafunzi na pia makosa yao hayafanani. Mbona hilo nimelisema na kulirudia? Kipi usichoelewa hapo ndugu?
 
Umeeleweka... Ulitaka kama ni fain wote wapigwe sawa!?
Pengine kabla ya kutoa hizo adhabu walifikiria kama wewe..

Mwalimu akifanya kosa adhabu yake haiwezi kuwa sawasawa na adhabu atayakayopewa mwanafunzi aliyefanya kosa lilelile...
Hili ni jinga
Yaani Sowah aliyekuwa akirushiwa chupa za maji na mashabiki wa mbumbumbu waliojaa uwanja mzima, yeye asingejitetea hata kurusha hiyo fimbo ya kibendera
 
Itakuwa nyie ni wadogo sana kujua masuala haya. Hakuna kosa kubwa katika soka na michezo kwa ujumla kama mchezaji kumshambulia mshabiki uwanjani.

1000088755.jpg
 
View attachment 3357964
Kwaiyo ni sawa mashabiki waliojaa uwanjani kumshambulia mchezaji wa timu pinzani
Hivi kama sio umbumbumbu utamshambuliaje mchezaji wa timu pinzani eti kwakuwa kakufunga, hivi mlitegemea Sowah mchezaji wa Singida Black Star aje uwanjani kuwafungia Simba goli
 
Tuweke rekodi sawa halafu tuendelee na mengine, Sowah hakufunga goli siku hiyo ya mchezo.
 
Back
Top Bottom