DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Si kila mtu anapenda kuingiziwa vitu nyuma kama nyie mnavyopenda kuingiziana mwiko halafu mnaenda kusongea ugaliIngetakiwa ile fimbo ya Bendera ilivyorushwa kama mkuki ikakite kwenye tako la shabiki mkoja wa Simba ili aende akamuoneshe mkewe aitoe.
Pumbavu wakubwa nyie. Kama hamtaki kufungwa nyie na marefa wenu na TFF pia ja libodi lenu si machete vyumbani mwenu.
Duh!!Ingetakiwa ile fimbo ya Bendera ilivyorushwa kama mkuki ikakite kwenye tako la shabiki mkoja wa Simba ili aende akamuoneshe mkewe aitoe.
Pumbavu wakubwa nyie. Kama hamtaki kufungwa nyie na marefa wenu na TFF pia ja libodi lenu si machete vyumbani mwenu.
Ilitakiwa ikakite either kwa mwasibu OKW BOBAN SUNZU au kwa Popoma GENTAMYCINE ππππ ili Kalpana awatoe.Duh!!
Matukio haya yanatofautiana sana. Siku zote katika sheria, adhabu huwa zinatofautiana kulingana na aina na uzito wa kosa. Katika adhabu hizi, Bodi ni kama wametoa adhabu kinyume na haziendani na aina na uzito wa hayo matukio.Vitendo vyote viwili ni vya kihuni na havifai kwa uhai wa soka letu...
Umeeleweka... Ulitaka kama ni fain wote wapigwe sawa!?Siku zote katika sheria, adhabu huwa zinatofautiana kulingana na aina na uzito wa kosa. Katika adhabu hizi, Bodi ni kama wametoa adhabu kinyume na haziendani na aina na uzito wa hayo matukio.
Sowah siyo mwanafunzi na pia makosa yao hayafanani. Mbona hilo nimelisema na kulirudia? Kipi usichoelewa hapo ndugu?Umeeleweka... Ulitaka kama ni fain wote wapigwe sawa!?
Pengine kabla ya kutoa hizo adhabu walifikiria kama wewe..
Mwalimu akifanya kosa adhabu yake haiwezi kuwa sawasawa na adhabu atayakayopewa mwanafunzi aliyefanya kosa lilelile...
Hili ni jingaUmeeleweka... Ulitaka kama ni fain wote wapigwe sawa!?
Pengine kabla ya kutoa hizo adhabu walifikiria kama wewe..
Mwalimu akifanya kosa adhabu yake haiwezi kuwa sawasawa na adhabu atayakayopewa mwanafunzi aliyefanya kosa lilelile...
Sowah siyo mwanafunzi na pia makosa yao hayafanani. Mbona hilo nimelisema na kulirudia? Kipi usichoelewa hapo ndugu?
Itakuwa nyie ni wadogo sana kujua masuala haya. Hakuna kosa kubwa katika soka na michezo kwa ujumla kama mchezaji kumshambulia mshabiki uwanjani.Hili ni jinga
Yaani Sowah aliyekuwa akirushiwa chupa za maji na mashabiki wa mbumbumbu waliojaa uwanja mzima, yeye asingejitetea hata kurusha hiyo fimbo ya kibendera
Kwaiyo ni sawa mashabiki waliojaa uwanjani kumshambulia mchezaji wa timu pinzaniItakuwa nyie ni wadogo sana kujua masuala haya. Hakuna kosa kubwa katika soka na michezo kwa ujumla kama mchezaji kumshambulia mshabiki uwanjani.
View attachment 3357964
Tuweke rekodi sawa halafu tuendelee na mengine, Sowah hakufunga goli siku hiyo ya mchezo.Kwaiyo ni sawa mashabiki waliojaa uwanjani kumshambulia mchezaji wa timu pinzani
Hivi kama sio umbumbumbu utamshambuliaje mchezaji wa timu pinzani eti kwakuwa kakufunga, hivi mlitegemea Sowah mchezaji wa Singida Black Star aje uwanjani kuwafungia Simba goli
Mm hata mada sijaelewa...kulitokea niniIlitakiwa ikakite either kwa mwasibu OKW BOBAN SUNZU au kwa Popoma GENTAMYCINE ππππ ili Kalpana awatoe.