Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini
Utakuta ukimuuliza mdada kwanini hadi umri huo alio nao hajaolewa na yupo single, atakwambia hajaona mwanaume serious, baadhi ni kweli hawajapata wanaume serious, ila wadada wengine ni kwamba hata wao wenyewe hawapo serious kwenye hayo mahusiano wanayoingia.
Wanaingia kwenye mahusiano na mentality ya kujiuliza, aki-date na mwanaume flani, atafaidika vipi kipesa, iyo mentality inawafanya waangukie kwa waume za watu, au wanaume waongo waongo wanaofeki maisha. Ukiwauliza mbona wao hawa contribute chochote hata kidogo kwenye mahusiano linapokuja swala la pesa watakwambia "mwanamke hanaga pesa" 😁 hata kama yeye mwenyewe anafanya kazi.
Kwa mwanaume anaejielewa, hata kama alikuwa na nia ya kuoa, akiona mizinga inazidi, alafu hamna kitu mdada ana contribute kwenye mahusiano, labda kumpikia mara moja moja, kum-support kihisia na kimawazo, mwanaume anaona hapa hamna mke, anapiga anasepa.
Kuna baadhi ya wadada wanapiga mizinga kila mwanaume anaewatongoza, huwaga najiuliza hawa wadada hawanaga mpango wa kuolewa maisha yao yote 😁🙌🏾