mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Nilikuwa kama namuogopa vile ila kumbe fresh tu nilipiga yule demu wa jamaa hadi sikuaminini kwani ilifikia hatua alikuwa analipia hadi hotel na anamuaga jamaa tunakaa wiki.Hebu tupe ya kwako ili tujipongeze kuwa sisi ni wajanja.