PreGE2025 Kupigana wenyewe kwa wenyewe kunavunja umoja wa kitaifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Kupigana wenyewe kwa wenyewe kunavunja umoja wa kitaifa, kunaua uzalendo na kuzalisha uasi.

Usalama wa taifa na vyombo vyote vya dola mnaowajibu wa kulinda maisha ya watu wote nchini kwa HAKI.

Tabia ya kupigana na kuoneana ni tabia hatarishi kwa ustawi wa nchi yetu.
Kila mtanzania apewe heshima na haki zake kwa misingi ya kisheria.
Nafasi mtu ukipata labda ni cheo Fulani kitumie kuwaunganisha watanzania.

Nchi haiweze kuendelea ikiwa tunapigana wenyewe kwa wenyewe kinyume cha Sheria.

Wakati wa Magufuli utekaji, utesaji na matukio ya kupotezwa watu yaliondoa yote mazuri ambayo Magufuli aliyafanya.

Kuua na kutesa wananchi wako kwa sababu yoyote Ile bila kufuata Sheria ni tabia za kishetani ambazo lazima tuzikemee.

Maendeleo yoyote yanayohusisha roho za watu hayo sio maendeleo. No Sawa na wale wanaotoa kafara mama au Baba zao ili wapate utajiri.

Kuna njia nyingi za kukabiliana na watu waliokinyume na wewe kimtazamo. Na sio kutumia mbinu za kishetani Kwa wananchi wako.

Fikiria ni watoto wako, au fikiria ni wewe mwenyewe.

Tunahitaji mabadiliko ya HAKI katika taifa letu. Haki ni kwaajili ya furaha na Amani ya kila mmoja wetu

Kutoka 2
13Akatoka siku ya pili, na tazama, watu wawili wa Waebrania walikuwa wakipigana. Akamwambia yule aliyemdhulumu mwenzake, Mbona unampiga mwenzako?

Acha nipumzike sasa.
 
Andiko lako limenikumbusha wanaopata mali kwa kutoa kafara ndugu zao, mwisho huwa wanaishia kubaya
 
Uko sahihi Mtibeli.

Hata ungewafanyia mema mangapi watanzania na Tanzania lakini kama unawapiga na kuwatwanga kinyume cha sheria na Haki ujue unatwanga maji kwenye kinu.
 
Ukiona unashangilia ubaya aliotendewa mtanzania mwenzako kwasababu ya tofauti za kisiasa ni dhahiri kuwa wewe ni mchawi
Wenye sauti zungumzeni tusiinyamazie hii Hali ni laana inayokuja kulitafuna taifa
 
Sio mchawi tu ni zaidi ya hapo
 
Nukuu "libya walimtaka mtu mmoja (Gadaffi), lakini wakaharibu nchi nzima"
 
Back
Top Bottom