Godlisten Masawe
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 738
- 283
Pole sana Serenity, mlilie mungu wako kamwe hatokuangusha trust me, bali mm ni mwanaume lakn nachukia sana tabia ya baadhi ya sisi wanaume kupiga wanawake, kama mapenzi mtu uyawezi si mwache kwa amani, mtu kakuzalia watoto, anakupikia, anakufulia nguo bado unamgeuza panch bag.!! mwanamke ni kama yai bhana, anaitaj kubembelezwa, kukumbatiwa na kutunzwa kwa kila namna. My mumy alishawai nieleza nitakapokuja oa nisije kupiga mke wangu hata siku moja.
Last edited by a moderator: