Kupigwa, kudhalilishwa na Kunyanyasika kwenye Mahusiano

Pole sana Serenity, mlilie mungu wako kamwe hatokuangusha trust me, bali mm ni mwanaume lakn nachukia sana tabia ya baadhi ya sisi wanaume kupiga wanawake, kama mapenzi mtu uyawezi si mwache kwa amani, mtu kakuzalia watoto, anakupikia, anakufulia nguo bado unamgeuza panch bag.!! mwanamke ni kama yai bhana, anaitaj kubembelezwa, kukumbatiwa na kutunzwa kwa kila namna. My mumy alishawai nieleza nitakapokuja oa nisije kupiga mke wangu hata siku moja.
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni wife beater na hata acha na ipo siku atakuumiza uwe kilema au hata mauti yakukute. Kaa mbali sana nae, mwanaume anayepiga mke wake mbele ya watoto au ndugu huyo sio mwanaume.

sasa umeongea hapa vema
 


kumbe wa mama wenye maadili bado wapo kwani mh ngoja ninyamazie hapo
 
pole dia wako hawa majini wa kupiga na kungoa nywele wake zao hata wakati mwingine kuwamwaga damu na wakaona nisawa kwo tu kumbe wanajipalia mkaa kwa huyo aliyewapa pumzi
 
The more naskia these stories the more i drift away psychologically from marriage(God help me)..Ngoja nizisake tu hela.

Dad poleMungu akusaidie sana.For now bora watoto wawe mbali na baba yao(my thought) trust me hakuna kitu kibaya kama mtot kuona jinsi mamake anateswa na babaake..inajenga enemity kubwa na ya kudumu.
Kama ni kuzaa kwa uchungu (as per God's words) tayari..be the Man of the family and step up your game!chacharika.
 

hahaaaa,umniacha hoi bin taaban
 
Hongera kwa kuchukua uamuzi wa busara.
Jipange na utashangaa utakavyokuwa happy hadi kujiuliza kwanini ulivumilia kiasi hicho.

Chonde chonde wanaume; hakuna kosa lolote ambalo linahalalisha kuumpiga mkeo. Ni udhaifu mkubwa kushindwa kujadiliana na kureason na mkeo, na kuishia kuprove uanaume wako kwa kumpiga defenceless woman. Mbona hamuwapigi ma coleague wenzenu wanapowakosea, kama kweli ni wanaume?

Mwanaume anapiga mkewe ni DHAIFU tu na hana moral authority ya kumuita kiongozi fulani Dhaifu!
 

ushauri mzuri sana. that man wont change. madam hajakukata mikono unaweza songa mbele mama. kikubwa ni kuwa tayari tu kiakili kwamba sasa unapambana kivyako. mi naamini kabisa kuwa hakuna lisilolowezekana ni muda tu.
 
Umenikumbusha utoto wangu .. Samahani sintoweza
Kuchangia zaidi.. Very sensitive topic .

pole sana AD. unajua ktk familia za kiafrika ni engi tumeshuhudia either wazazi au ndugu zetu kuwa abused physically. i remember thoooose days my brother in law alikuwa anampiga sana sister angu halafu dada ndo mchakarikaji. tulimshauri sana aondoke but she culdnt. aaah all in all it hurts a lot.
 

Unangoja mpaka akuuwe ndio ujue kuwa ulihitaji kuondoka toka kwenye hiyo ndoa/uhusiano mapemaaa!? Watu wanauawa wanatiwa vilema kwenye magomvi ya mahusiano...utakuwa mmoja wa hizo takwimu ukirudi kwenye hiyo nyumba!
 
Hongera sana, natamani wanawake wote wawe kama wewe. Nisambazie elimu hii kwa wasichana hasa wa shule za msingi na sekondari.

asante mkuu. namshukuru Mungu maana amenijalia nimekua mtu ninayeheshimu misimamo yangu. aissee mm ni balozi mzuri sana wa hilo maana nimeshuhudia ndugu zangu wengi sana wakiwa abused na wanaume wao. inaumiza sana,

my mom ni balozi wa hili. imekuwa ni wimbo wake but si unajua tena sometimes mabinti ndo wanakuwa hawataki kutoka japo wanakuwa mistreated,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…