Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #21
Inategemea. Unakuta mtu maisha yapo chini lakini hapati kabisa jua. Kama wale wanaofanya kazi ndani viwandani, watu wa ndani ndani masokoni, wazee, watu wa maofisini na wa biashara ambazo zinawafanya wakae ndani muda wote.Sema maisha yetu haya nadhani tutakua tunazidisha kabisa