Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #21
Inategemea. Unakuta mtu maisha yapo chini lakini hapati kabisa jua. Kama wale wanaofanya kazi ndani viwandani, watu wa ndani ndani masokoni, wazee, watu wa maofisini na wa biashara ambazo zinawafanya wakae ndani muda wote.Sema maisha yetu haya nadhani tutakua tunazidisha kabisa
Mwezi unakata hakuna Jua wengine bila Jua tunaanza kuumwaDar hakuna jua mwezi 4 wote. Vipi Jiji la Makonda?
Huku hakuna Jua km Njombe nipo Kijenge hapaJua lipo lipo lakini halichomi kihivyo
Bahati sana. Inabidi mipango miji wanapokata viwanja au kuruhusu maghorofa sehemu za makazi wahakikishe haki ya mtu kupata jua inazingatiwa. Siyo mtu anajenga mghorofa mbele yako na kukuzuia jua.Najiandaa kwenda church nashangaa jua hilo limeingia ndani..,nikafungua mlango Kabisa linipige vilivyo☹️...bahati iliyoje kufuatwa na jua kwa sebule😜
Labda kama lengo ni kuyeyusha ubongo.😀Saa 7 mpaka 10 la utosi lile
[emoji16]Mmhh kibongo bongo siyo kwa jua la Dar na Dom, hata hivyo ni jua la asubuhi ndio lenye vitamin, sasa we jianike mchana wa kiangazi uone kama hujazeeka kabla ya wakati
utaungua mpaka ukomeSaa 7 kuelekea saa 10 ndio lenyewe
Yeah that’s itBahati sana. Inabidi mipango miji wanapokata viwanja au kuruhusu maghorofa sehemu za makazi wahakikishe haki ya mtu kupata jua inazingatiwa. Siyo mtu anajenga mghorofa mbele yako na kukuzuia jua.
😂 SIO unajikaanga km Mamba unakaa KIDOGO tu yaan Mamba anakuzidi Akili kwamba jua kali lina faida?utaungua mpaka ukome