Kupigwa picha kwenye sherehe SIO SALAMA

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Posts
1,858
Reaction score
2,059
Unakuta anajileta mpiga picha anapiga picha watu atakavyo yeye na kwenda kuzisafisha kisha kuziuza. Sio zote zinanunuliwa ma wahusika. Je hatuoni ni hatari picha yako kubaki na huyo mpiga picha? Zipo zingine akishapiga hata hasafishi na huondoka nazo. Hii ni hatari kwetu sote tunaopigwa picha bila ridhaa yetu.

Lazima tufanye kitu katika jambo hili na nawakaribisha kwa maoni kuhusu nini kifanyike
 
elezea hatari zilizopo/zinazo weza tokana na kuoigwa picha bila ridhaa yako tenaukiwa kwenye sherehe ya rafiki/ndugu n.k
 
Subirini yawakute ndio mtajua nisemacho.
 
Kwani misingi ya mpiga picha ni ipi!?..as long hujavaa bango linalosema HAURUHUSIWI KUPIGA PICHA HAPA ana haki zote kukupiga na ukiharibu camera atakushtaki ukamlipa!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…