dafity
JF-Expert Member
- Aug 16, 2008
- 1,858
- 2,059
Unakuta anajileta mpiga picha anapiga picha watu atakavyo yeye na kwenda kuzisafisha kisha kuziuza. Sio zote zinanunuliwa ma wahusika. Je hatuoni ni hatari picha yako kubaki na huyo mpiga picha? Zipo zingine akishapiga hata hasafishi na huondoka nazo. Hii ni hatari kwetu sote tunaopigwa picha bila ridhaa yetu.
Lazima tufanye kitu katika jambo hili na nawakaribisha kwa maoni kuhusu nini kifanyike
Lazima tufanye kitu katika jambo hili na nawakaribisha kwa maoni kuhusu nini kifanyike