Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

Tigo nao wanasemaje??

Hizo taarifa zilivujishwa zikatumwa kwa nani? Isiwe zilitumwa kwa mtu tu then ikatajwa serikali. Inawezekana mtu mmoja ametumia madaraka yake vibaya lakini kwenye utambulisho/fikra zetu tukasema serikali. Ni vyema ingeelezwa nan alikuwa anapokea taarifa ili nae aseme aliagizwa na mamlaka za serikali au utashi wake
 
Kama ni kweli tigo walihusika kama ilivyoelezwa ni wkt wa kuhamasisha wananchi wote wenye line za tigo kuzitumbukiza chooni.
Waliokuwa wamiliki Milcom walisha iiuza baada ya tukio hilo ila walio inunua sina uhakika kama nao hawa kushiriki wakati ule maana ni watu wasiojulikana.
 
Nimeamini mabeberu yanatujua mienendo yetu yote.Halafu kunavichaa wachache wanawafokea mabeberu eti wasituingilie!Yaani uuwe watu halafu useme usiingiliwe na beberu?
 
sikilizia Taarifa hizo zinadai kuwa Tigo ilitoa taarifa za eneo na mawasiliano ya simu ya Lissu kwa serikali ya Tanzania kuanzia tarehe 22 Agosti 2017, wiki chache kabla ya shambulio hilo kutokea. Taarifa hizi zilifuatiliwa kwa saa 24 kila siku, hadi siku ya tukio.🥺🥺🥺
 
SAMIA nae kachanwa. Paragraph ya mwisho wameandika:

Tanzania remains a dangerous country in which to be a member of the political opposition, despite a change of president in 2021. On Monday, police arrested Lissu and at least a dozen others before planned protests against killings and disappearances of opposition politicians.

THE GUARDIAN
 
Ingekuwa ni nchi ambazo watu wanajielewa, tiGO hadi sasa ingekuwa ishapoteza walau robo ya subs wake...
Mambo hayafanyiki kwa mihemko kama unavuodhani!
Kwa hiyo yafanyike hayo kisa Lisu alifanyiwa hiyo!
Who is Lisu mpaka tigo ifanyiwe hivyo?
Juzi hapa maandamano umeona kilichotokea?
 
Ili nalo litapita kama sio suala muhimu kwa usalama wa RAIA.
 
Kwani Serikali siyo watu. Akisema alikuwa anaziomba hizo taarifa kibinafsi ndiyo itakuwaje?
 
Mambo hayafanyiki kwa mihemko kama unavuodhani!
Kwa hiyo yafanyike hayo kisa Lisu alifanyiwa hiyo!
Who is Lisu mpaka tigo ifanyiwe hivyo?
Juzi hapa maandamano umeona kilichotokea?
Hoja yako ni nini? Kwamba thamani ya mtu wewe binafsi unaipimaje?
 
sikilizia Taarifa hizo zinadai kuwa Tigo ilitoa taarifa za eneo na mawasiliano ya simu ya Lissu kwa serikali ya Tanzania kuanzia tarehe 22 Agosti 2017, wiki chache kabla ya shambulio hilo kutokea. Taarifa hizi zilifuatiliwa kwa saa 24 kila siku, hadi siku ya tukio.
 
Afu wapo kimya
 
Tuko nyuma sana kwa technology. Wametupita kwa kila kitu . Mzungu anatuchungulia mpaka ndani ya mapafu, acha vyumbani. Simu ni zao, satellite ni zao, hata savers ni zao, mimi siwabishii.
Jamaa aliefukuzwa kazi ndie aliechomoa waya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…