Wewe endelea na hizo brainwash zako kutetea mashetaniNi nchi gani duniani ambako makampuni hayatoi mawasiliano yanayohitajika na serikali?
Haya ndo madhara ya kudandia vitu bila kushirikisha akili.
Ndicho kitacho tokea, ni suala la muda tu...@ Tundu Lissu, watafute hawa mabwana wakufanyie kazi: Mishcon de Reya. It's business. But it's personal. au huyu Bingwa: Lord Pannick KCYaani TIGO ilishirikiana na serikali katika jaribio la kumuua?
Tundu afungue kesi uingereza adai Pauni milioni 500
Awali niliamini usalama wa taifa wanamiliki mtandao wa simu, hasa nilipoona simu za waharifu wasiojulikana hawapatikani. Kumbe tigo inatumiwa na dola kutekeleza uharifu wao. Tigo watanisamehe, line yao nimeivunja vipande.CCM hii episode inayoanza kimataifa, fahamuni ndo mwanzo wa mwisho wenu.
Ogopa teknolojia. Mnanunua mamitambo ya kutrack raia kisha mnawaumiza na kuwaua mkidhani siri hiyo mtakaa nayo milele.
Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu soon itakuwa na very interesting case.
View attachment 3106133
View attachment 3106134
View attachment 3106136
View attachment 3106137
View attachment 3106138
Kuwekwa hadharani taarifa hii ni hatua za awali za kuizika kabisa CCM na washirika wake ndani ya serikali dhalimu
Msiseme sikuwaambia
Ndugu, hivi unajuwa maana ya universal Jurisdiction? Ni kampuni inayomilikiwa na waingereza au subsidiaries zake. Hii peeke inamoa Lissu locus standae ya kufungua kesi huko London.Hapana,Tigo makao makuu yao Africa yalikuwa London,huyu alikuwa anafanya kazi London
Makampuni yanatoa, lakini kwa kibali cha mahakama . Usiaminishe watu uongo kwa kuhalalisha uvunjaji wa sheria unao fanywa na serikali ya CCM.Ni nchi gani duniani ambako makampuni hayatoi mawasiliano yanayohitajika na serikali?
Haya ndo madhara ya kudandia vitu bila kushirikisha akili.
Tigo walimtumia mtu kwa whatsap- halafu zikafutwa- kesi tamu sana hii- hata hili kamouni litahusika kuleta metadata za hiyo whatsap iliyofutwa. Ngoja Lissu afungue kesi... watajulikana tu ni akina nao hao walipewa na ku mtrack huy LissuTigo nao wanasemaje??
Hizo taarifa zilivujishwa zikatumwa kwa nani? Isiwe zilitumwa kwa mtu tu then ikatajwa serikali. Inawezekana mtu mmoja ametumia madaraka yake vibaya lakini kwenye utambulisho/fikra zetu tukasema serikali. Ni vyema ingeelezwa nan alikuwa anapokea taarifa ili nae aseme aliagizwa na mamlaka za serikali au utashi wake
Simtetei yeyote bt nimekuambia ukweli kua serikali zote duniani ndo michezo yao.Wewe endelea na hizo brainwash zako kutetea mashetani
Lissu akifungua kesi ya madai dhidi ya Kampuni hiyo ya simu atavuna mabilioni kama fidia.Katika mashauri yaliyosikilizwa katika Mahakama ya ajira ya London, Uingereza, imeibuka taarifa kwamba kampuni ya mawasiliano ya Tigo ilihusika katika kutoa taarifa za simu za mwanasiasa maarufu wa Tanzania, Tundu Lissu, kwa mamlaka za serikali kabla ya jaribio la mauaji dhidi yake mwaka 2017.
Taarifa hizo zinadai kuwa Tigo ilitoa taarifa za eneo na mawasiliano ya simu ya Lissu kwa serikali ya Tanzania kuanzia tarehe 22 Agosti 2017, wiki chache kabla ya shambulio hilo kutokea. Taarifa hizi zilifuatiliwa kwa saa 24 kila siku, hadi siku ya tukio.
Shambulio la Risasi Dhidi ya Tundu Lissu
Lissu, ambaye ni mwanasheria na mwanasiasa wa upinzani, alishambuliwa kwa risasi 36 tarehe 7 Septemba 2017 nje ya makazi yake ya bunge mjini Dodoma. Alipigwa risasi akiwa kwenye gari lake na kujeruhiwa vibaya, lakini alinusurika kifo. Mpaka sasa, hakuna aliyekamatwa kuhusiana na shambulio hilo.
Mfanyakazi wa Tigo Afutwa Kazi kwa Kuwasilisha Malalamiko
Katika kesi hiyo, Michael Clifford, afisa wa zamani wa Tigo na mpelelezi wa zamani wa polisi, alidai kuwa alifutwa kazi kwa sababu ya kufichua taarifa kuhusu mpango wa utoaji wa taarifa za simu za Lissu kwa serikali ya Tanzania.
Clifford alidai kwamba baada ya kuhudhuria mkutano uliohusu utoaji wa taarifa hizo, alianzisha uchunguzi wa ndani na kugundua kwamba Tigo ilikuwa ikitoa taarifa za simu ya Lissu kwa serikali bila idhini yake.
Firm disclosed phone data of shot Tanzanian politician, UK tribunal hears
Tigo's former investigator claims he was unfairly dismissed for raising concerns over 2017 attack on Tundu Lissu
David Pegg
Tue 24 Sep 2024 15.58 BST
Gunmen tried to assassinate a Tanzanian opposition politician after a telecoms company secretly passed his mobile phone data to the government, according to evidence heard in a London tribunal.
The mobile phone company Tigo provided 24/7 phone call and location data belonging to Tundu Lissu to Tanzanian authorities in the weeks before the attempt on his life in September 2017.
The arrangement, which Tigo does not deny, was revealed in a claim by a former internal investigator for the company that was heard at the Central London employment tribunal this month.
Michael Clifford, a former Metropolitan police officer, claims that Millicom, the owner of the Tigo brand, sacked him for raising concerns about the affair.
“Mr Clifford’s case is that he was treated to his detriment, frozen out by [Millicom] and automatically unfairly dismissed because he made protected disclosures, or ‘blew the whistle’, in respect of matters of the utmost seriousness and public interest importance,” Clifford’s lawyers said in written submissions.
Lissu was attacked in his car in the parking bay of his parliamentary residence in Dodoma on 7 September 2017. The car was sprayed with bullets and he received severe injuries. Nobody has been prosecuted for his attempted murder.
Five days later, Clifford began investigating after hearing on a conference call that Millicom had been providing Lissu’s mobile phone data to the Tanzanian government. He later handed a summary of his findings to his superiors, his lawyers said.
The report concluded that “information had been provided to the Tanzanian government since 22 August 2017”, the lawyers said. “From 29 August 2017, the intensity of the tracking increased and [Millicom] used its human and electronic resources to live-track 24/7 the location of two of Mr Lissu’s mobile phones.”
The data was passed to the government via WhatsApp messages, which Millicom was later asked to delete. No formal legal request for the data appeared to have been filed.
“In the claimant’s reasonable belief, this information tended to show that [Millicom] was involved in an attempted political assassination and an act of terrorism,” Clifford’s lawyers said.
Get in touch
Do you have information about this story? Email david.pegg@theguardian.com, or (using a non-work phone) use Signal or WhatsApp to message +44 772 8715874. For the most secure communications, use SecureDrop or see our guide.
Clifford claims that after escalating his concerns, his relationship with his managers began to break down and they began to marginalise him within the company, before making him redundant in the autumn of 2019. Millicom disputes Clifford’s claim.
The company provides telecoms services to emerging markets in Latin America and also operated in parts of Africa during the period Clifford was employed. Its position is that at the time Clifford was dismissed, it was in the process of winding down a substantial proportion of its activities in Africa.
Tanzania remains a dangerous country in which to be a member of the political opposition, despite a change of president in 2021. On Monday, police arrested Lissu and at least a dozen others before planned protests against killings and the
Chanzo. The Guardian UKView attachment 3105588
Ndio maana yake, halafu hata hadi sasa haya makamouni hayajasema chochote, ni kama vile wana matutusa ya kiwango cha sgr huko kwenye vitengo vyao vya Public relationKumbe kampuni za simu zinavujisha siri za mawasiliano ya wateja wao bila kufuata sheria?
Kwahiyo wewe unajua sana kuliko watunzi wa sheria za kumlinda mpewa huduma?Ni nchi gani duniani ambako makampuni hayatoi mawasiliano yanayohitajika na serikali?
Haya ndo madhara ya kudandia vitu bila kushirikisha akili.
Akiwemo msaidizi wake aliyetamka kwamba kujiteka ni drama, na ameagiza uchunguzi wa kifo cha mzee Ali Kibao wakati shambulio la mwaka 2017 la Tundu Lissu hawajamalizaHili jambo liko wazi kuwa ni serekali ndio ilihusika kwa maagizo ya dhalimu magu.
Wazungu wataifanya nini CCM?Mi nashangaaga ambapo mtu anawabeza wafadhili wa uchaguzi na miradi mbalimbali ya nchi,wakati anawategemea.
Niliwahiambiwa kua anaponyata malaika,mpumbavu hutembea kwa kishindo.
Haya ni madhalimu ya CCM #Lucas mwanshambwa njoo uteteeAibu kubwa hii inainyemelea serikali dhalim ya CCM
Sawa, niambie wataifanya nini CCM?Kwamba mkuu unawaza ccm ni wakubwa na wajanja kuliko wazungu?
Chadema kumekuwa na wajinga sana.Kampuni italipa fidia kubwa. Wasiojulikana wamejulikana
Tatizo ni majasusi wa nje au watekaji na wa ndani?We are not safe kama majasusi ya nje yanaajiriwa kwenye kampuni za mawasiliano ya simu hapa nchini.
Hatari na yeye akasisitiza "that is government".Alipokuwa anasema Mimi silali mpaka SAA 8 usiku niko macho....
Kuna bwana mmoja aliniambia huyu anadukua kila mtu ,anasikiliza wenzake wote wanachofanya ...
Alichokosea ni kidukua baadhi ya wafanyabiashara miamala..na kuomba kujua salio bank ...hapo alinogea na kamchezo wa tugawane (plea bargain)
Nilikataa mwanzoni ...ila kumbe ndio ulikuwa mtindo na mazoea yake
Ndiyo maana Osama Bin Laden alikuwa hatumii simu kabisa.Hutakwepa mawasiliano ya simu. Tumia kwa wema, uwazi, ukweli, uzalendo, kifamilia, kijamii, kitaifa, kimataifa, KIROHO ila ukijichanganya tu. Tutakuimbia niagieni. Dunia hii huna pa kukimbilia labda unyooke kitabia tu. Hasa nchi zetu za kiafrica za Giza na uonevu , mbabe na mwenye nguvu fulani anaweza kuamua lolote juu yako. Mashuhuda/majirani tutasonya, tutakasirika, tutalaumu, tutalia, kisha, tunasahau na maisha yanasonga.
Tatizo ni kiungo unachotumia kufikiria kina walakini, uzi unazungumzia kampuni ya TIGO imepelekwa mahamani kwa kutoa taaifa na location ya Tundu Lissu.Kupigwa kwa msaliti siyo habari