Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

..mbona bosi wetu Maxence Melo alikataa kutoa taarifa za wana JF kwa serikali? yaani TIGO wanashindwa hata na Maxence Melo wa JF ktk kulinda taarifa za wateja wao? Wacha walaumiwe kwa UGAIDI.
Max hana taarifa zako, wewe nini encrypted tu; unatokea JF kama JokaKuu all other details za kuku tracę are encrypted.

Kwa sasa hata wakimkamata Max na kunyofoa kucha hajui mtu. Wakati anasumbuliwa na awamu iliyopita (sio kwa amri ya Magufuli) washamba tu wanaojipwndekeza. Walipoenda ofisi zao na kukagua mitambo yao wenyewe wakishindwa kumbaini mtu..

Usiku mwema, spelling and stringing sentences ishakuwa shida.

Ila Lissu ni msaliti 👋
 
Siipendi siasa,wala sikuwahi kuipenda,hatujui ukweli wa hili lakini kiuhalisia mpaka hili lipite moyo wa wahusika utakuwa umepata mateso ya kutosha...
 
Nask
Nasikia hata Message za Watsup zilifutwa. Server ya Watsup huko Meta hawawezi kuwa nazo tuone Mawasiliano yalikuwaje? Lissu amuombe Zuckerberg amprintie haya Mawasiliano tangu tarehe hiyo ya Agosti.
 
Hili jambo liko wazi kuwa ni serekali ndio ilihusika kwa maagizo ya dhalimu magu.
Hivi yule dereva wa Lissu alikimbiliaga wapi?,na kwanini haijulikani hatma yake?,nini kimejificha?
 
Umesoma zile articles na paper za The Guardian??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hivi yule dereva wa Lissu alikimbiliaga wapi?,na kwanini haijulikani hatma yake?,nini kimejificha?
Dereva alikimbia kulinda uhai wake. Kilichojificha kinafahamika na polisi maana ndio waliagiza walinzi waondolewe main gate
 
Umesoma zile articles na paper za The Guardian??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nimesoma article na ku-scan through case yenyewe.

Mzungu mkorofi tu, kwanza ali sign mpaka non disclosure agreement kwenye mkataba wake atakachobaini huko atakiwi kusema hadharani ndio msingi wa kupewa access ya kuchunguza.

Nadhani hao Millicom wenyewe wanajuta, pili hiyo ni ‘employment tribunal’ usually is a private matter U.K., yeye analazimisha iwe public na ataje wahusika wakati mkataba wake wa kazi ulikuwa unamkataza.

Jamaa alikuwa mwajiriwa wa polisi chances are kuna msukumo wa serikali yao mpaka kesi ilipofikia. Na serikali ya uingereza na wazungu kwa ujumla wana kila sababu kulinda assets zao zingine (informers or trouble makers waliopo Tanzania) so lazima wafanye fujo kuweka fear ya ku-trace electronic devises zao.

Lastly mzungu alikuwa mwajiriwa wa Millicom U.K. LTD ndio maana dispute inafanyika huko kwao.

Kwa Tanzania kuna different jurisdiction, either way it’s obvious Lissu is compromised.
 
Tigo ni TIGO kweli kweli. Wapo tayari kuuza faragha za wateja kwa CCM kwa kukubali kutumiwa kama kondomu au chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…