Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

K
Bila shaka wahusika wa tukio sasa wanaelekea kujulikana. Kama hiyo kampuni ya tigo ilihusika kutoa taarifa za Lissu, sasa hapo si wanatakiwa watuambie tu walizitoa hizo taarifa kwa nani?
 
“In the claimant’s reasonable belief, this information tended to show that [Millicom/tigo]was involved in an attempted political assassination and act of terrorism,” Clifford’s lawyers said.
Huyu anaweza lipwa pesa ndefu kama akishinda sababu anadai alikuwa unfairly dismissed sababu ya ku raise concerns kwa tigo ku share data za Tundu lisu na government.
 
Kama ni kweli tigo walihusika kama ilivyoelezwa ni wkt wa kuhamasisha wananchi wote wenye line za tigo kuzitumbukiza chooni.
Hili liko ndani ya uwezo wetu, tuhamasishane itakapodhibitika. Tuwalazimishe na wengine kutuheshimu.
 
Fafanua mkuu hii paragraph ya mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…