Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

Unajua kusoma na kuelewa Kingereza??? ni wapi huyo unayemwita Jasusi kaajiriwa nchini??
Embu niondolee utahira wako hapa,

Kama hujaelewa ni wewe mwenyewe

Sema kama unahitaji kueleweshwa na sio kudandia dandia tu comments za watu hapa wakati hujui lolote kiazi wewe.
 
Hakuna kitu unaweza fanya kisibainike kwenye cm kama mamlaka zikiamua kufatilia.
Iko hivi....

1. Kwanza ni kweli, hakuna kitu unaweza kutenda kupitia hivi vifaa vya ki - electronics kama simu, computer nk kinafichika daima bali mtu akitaka kufunua ili kujua, anaweza kujua tu lakini si kinyemela au kienyeji tu kama unavyofikiri wewe bali ni kwa kufuata na kuzingatia sheria za kitaifa na kimataifa kwa pamoja..

2. Mfano, sheria ya kuiruhusu kampuni ya mawasiliano ya simu ku - disclose personal information au data za mteja wao kwa mtu wa tatu (third person) inataka wewe unayeomba taarifa hizo uwe mtu binafsi mmeshitakiano huko mahakamani, au iwe ni taasisi fulani ya serikali mfano polisi au mpelelezi au TISS, basi sharti upitie na uende mahakamani, umshitaki kwanza huyo mtu (kama unadhani kavunja sheria fulani)....

3. Ukishamshitaki, ukiishawishi mahakama kuwa kuna taarifa muhimu za mawasiliano za simu zake mtuhumiwa zinahitajika kama ushahidi mahakamani kuthibitisha kosa la mshitakiwa na taarifa hizo sharti kampuni ya simu fulani izitoe, basi mahakama itatoa kibali na utaratibu specific wa kuiruhusu kampuni hiyo kutoa infos na data hizo....

4. Serikali ya Rais John P. Magufuli walipaswa kufuata utaratibu huu kwa Tundu Lissu mwaka 2017 kama walikuwa wanadhani ametenda kosa fulani la jinai. Lakini kwa ubabe tu na ujinga wao, wakachukua shortcut kuwa auwawe kwa kupigwa risasi. Hii inathibitisha kuwa Tundu Lissu hakuwa na kosa lolote bali Magufuli na wenzake huko CCM walijiongoza kutenda tendo hili la mauaji kwa sababu ya chuki binafsi za kisiasa tu...!!

5. Ndo kusema kuwa, ili kulinda usalama wa watumiaji, wa huduma za mawasiliano ya kielectronics i .e simu, internet, social media kama JF, WhatsApp, Twitter X nk kuna sheria kali na ngumu sana tena za kimataifa ili kulinda usalama na usiri wa taarifa za watumiaji wa vifaa hivi na mitandao....
 
Duu hapa nimekubali pale USA walipompiga ban Bashite walikuwa na Ushahidi Wote!!
 
Watuletee dereva wake ili atuambie ukweli. Haya mengine ni porojo tu.
 
Uzuri mahakama za wenzetu hazina longolongo, watachimbua Kila kitu na ukweli utafanikiwa wazi, tulishasema hakuna Siri ya watu wawili, hao TIGO watasema Kila kitu under oath la sivyo watapoteza licence yao ya biashara, na inavyoonekana Lisu atalipwa mpunga mrefu sana kwenye hili, tunakumbuka ile radar tuliyouziwa wakati wa Mkapa, wazungu walichimbua Kila kitu na pesa zote zilirudishwa
 
Nasikitika mwendazake kufa mapema kabla hanjanyea debe. Ila huyu bi wa kizimkazi anaweza kujikuta anabeba deni la kunyeya debe la mwendazake asipo kuwa makini akafikiri atarudi ikuru kwa njia za mwendazake. Mwendazake Alisha juwa hata ishi sana ndio maana alikuwa hajari. Alijuwa hata angefugwa jangefia jela ndani wiki.
 
Tuko nyuma sana kwa technology. Wametupita kwa kila kitu . Mzungu anatuchungulia mpaka ndani ya mapafu, acha vyumbani. Simu ni zao, satellite ni zao, hata savers ni zao, mimi siwabishii.
Wewe hujaelewa...hizi Corporate huwa wapata access ya kinachoendelea kwenye subsidiaries
Tatizo wajiriwa wengi wa uko ni form 4 failure unategemea nin ? 😃
Kuna jamaa yuko pale ndo kazi zake kuvujisha siri kwa polisi,kampuni walitaka kumfukuza kazi lakini akakingiwa kifua na gavoo,ila mpaka leo anafanya sana hiyo kazi ya kuvujisha/kutrace wateja na kutoa taarifa kwa polisi bila idhini ya Tigo
 
Mtaje jina huyo Mbwa
 
Na huu ndg zanguni, ndo utamu wa utaalam wa intelijensia. Wa2 wenye akili zao wanatmia teknologia kuchapa mwendo- kimaendleo. Cc tuko bize tunahangaikia siasa- kutawala karne hadi karne.
Na haya yanatkea mara 2 baada ya kuwashtum wazungu kuinglia mambo yetu ya ndn. hz habari C za leo, tjiulize kw nn ztoke xaxa!? Ttegmee nn xaxa? Hii mambo ya wa2 wasojlikana itafumua mengi. Watawala kueni na wielding Lau kdg.
Wazungu watatuvua nguo mpk tkome kuwazodoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…