[emoji38]
inatoa mionzi, inanyonywa na chakula ( maji)Hivi microwave inatoa joto au mionzi inayonyonya maji?
Nadhani inategemea na wewe unataka nini
got youNadhani inategemea na wewe unataka nini
Kama ni kwa ajili ya kupasha tu;basi yoyote yafaa
Kama unataka hadi ku'grill/kuchoma vitu basi angalia specifications kwenye microwave yenyewe
Aidha km unapenda analog/digital uchague pia
Kuna options za kutosha madukani
Kenwood