Kupika kwa kutumia Microwave

Kupika kwa kutumia Microwave

Nimejaribu wali mara mbili ukatoka poa sana.

Niliweka mchele uliooshwa kwenye bakuli ya udongo (microwaveable) nikatia maji, chumvi na mafuta kidogo. Moto nikaweka High kabisa kwa dakika 15. Ulitoka mzuri kama wa rice cooker.

Nikipata muda nataka nijaribu vitu vingine vidogo vidogo.
 
Mara nyingi huwa naandaa samaki kwa kutumia micro wave....mpake samaki mafuta ili asikauke.
 
Kukaanga korosho mbichi.

Zinyunyizie maji yenye chumvi kisha kila bada ya dakika 2 unageuza na kunyunyizia tena mpaka zikaangwe kwa level unayotaka
 
microwave gani ni nzuri zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani inategemea na wewe unataka nini

Kama ni kwa ajili ya kupasha tu;basi yoyote yafaa

Kama unataka hadi ku'grill/kuchoma vitu basi angalia specifications kwenye microwave yenyewe

Aidha km unapenda analog/digital uchague pia
Kuna options za kutosha madukani
 
Nadhani inategemea na wewe unataka nini

Kama ni kwa ajili ya kupasha tu;basi yoyote yafaa

Kama unataka hadi ku'grill/kuchoma vitu basi angalia specifications kwenye microwave yenyewe

Aidha km unapenda analog/digital uchague pia
Kuna options za kutosha madukani
got you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom