Ramo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,818
- 1,824
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa unatoa hela ya kununua chakula cha kuuza hilo genge. Hakuna cha bure.Kama wewe mwanaume usihangaike,tafuta mama ntilie mtongoze akikubali utaishi maisha yenye raha mstarehe hautajuta,ila ukishindwa kufanya hivyo kupika mwenyewe ni kusev pesa kuliko kununua
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuwa salama mwaka mzima ukila kwa mama ntilie. Fikiria na matibabu ya kuhara na muda Wa kufuata matibabu na gharama.Gharama hapo ni kuosha vyombo sio kupwika, bora ukale kwa mama ntilie hautajutia Mzee!!!
Hiyo unaweza kutokea hata kama unapika mwenyewe kikubwa ni usafi.Huwezi kuwa salama mwaka mzima ukila kwa mama ntilie. Fikiria na matibabu ya kuhara na muda Wa kufuata matibabu na gharama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushaurUbora na Kusave pesa kunatokana na Mtu mwenyewe.
Naamini utakuwa kijana wa Chuo mwenye nia ya Kupanga auTayari umepanga.
Nitakushauri kama ifuatavyo.
PIKA endapo;
1. Mpo zaidi ya Mmoja (wawili na kuendelea).
-Hapo itakusaidia kisave money sana.
2. Upo maeneo ambapo chakula chake ni ghali sana na Ni special kwa ajili ya starehe na sio kwa kijana kama wewe ambae unataka ule ushibe kisawa sawa.
-Mfano Chakula >3000 ni bora upike.
3.Ubora wa Chakula kwa maman'tilie.
Kuna maeneo chakula wanachoandaa unaweza sema ni special kwa nguruwe mf.kipindi nasoma nilipanga Mwenge- Mpakani hawa akina mama wote wabovu kwenye kupika.
4.Upatikanaji wa Chakula.
- Kuna maeneo mengine kupata sehemu wanayouza Vyakula ni mtihani unaweza tembea takribani 1km ndio upate hiyo R& B
5.Kama sio Mvivu Kupika na Kuosha Vyombo
6.Uwe Unajua Kupika.
-Sio unapika Vyakula vya ajabu mara wali mbichi|Boko boko, Mafuta hayaivi n.k
Usipike kama;
1 .Chakula ulipo kinapatikana kirahisi na kwa bei rahisi.
Mfano Maeneo karibu na Vyuo.
Hapo unapoteza muda wako tu.
2.Kama upo pekee.
Usijaribu kupika BUT Jaribu kurejea ushauri hapo Juu uone kama kuna sababu ya msingi inayoweza kuificha|kuiondoa hii sababu.
Nimechoka kutype. (N.K)
AsanteKama ni bachela, pika mwenyewe! Utapunguza sana gharama. Huna sababu ya kula kwa mama ntilie. Halafu unatakiwa ule mara mbili tu kwa siku. (Breakfast plus Lunch) na Dinner.
Viporo kwa wingi! na hayo ndiyo maisha ya geto. Ukipika wali leo, unakula mpaka kesho. Hakuna kumwaga chakula. Vyombo unaosha mara moja tu kwa wiki! Jiko la gesi ndiyo mpango mzima.
Fata huu ushauriKama ni bachela, pika mwenyewe! Utapunguza sana gharama. Huna sababu ya kula kwa mama ntilie. Halafu unatakiwa ule mara mbili tu kwa siku. (Breakfast plus Lunch) na Dinner.
Viporo kwa wingi! na hayo ndiyo maisha ya geto. Ukipika wali leo, unakula mpaka kesho. Hakuna kumwaga chakula. Vyombo unaosha mara moja tu kwa wiki! Jiko la gesi ndiyo mpango mzima.
Kuoa na kuchukua changudoa ni kipi kina save hela?