Kupika vs kula kwa mama ntilie ni kipi nafuu na kusave hela?

Mi katika ubachela naona kula kwa mama ntilie ni bora zaidi.

Ntatengeneza nyumbani labda breakfast, matunda au smoothies

Hata vifaa vya kupika sina mpango wa kununua.
Sipendelei na muda pia haupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PIKA PIKA PIKA PIKA PIKA PIKA MWENYEWE UTASEVE PESA UTASEVE MUDA ITATEGEMEANA NA UTAYARI WAKO NA WEWE ULIVYOJIANDAA ILA
PIKA PIKA PIKA PIKA MWENYEWE.
 
Asante kwa ushaur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fata huu ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakulaga kwa mama ntilie au restaurant kama nadharura sana, nikiangalia mazingira ya mapisha nikiona bkuli sahani na kijiko kinavyooshwa maji ni hayo hayo kriiiii wakati nafanya kazi ya kuajiriwa nilikuwa napiga desh mchana nakunywa maji kwa wingi jioni najipikia nyama nusu 3000 na ndizi za buku mchemsho safi na asubuhi unagonga uliobaki.

Kula chakula ulichopika unakuwa na amani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…