Kupima HIV mara kwa mara: Je, ni kuangalia afya tu au kutokutulia kwenye mahusiano ndio sababu?

Kupima HIV mara kwa mara: Je, ni kuangalia afya tu au kutokutulia kwenye mahusiano ndio sababu?

Lazima mmoja wenu anachepuka, hakuna sababu ya kupima HIV mara tatu kwa mwaka kama wote mnaaminiana na mnaheshimu ndoa. Sikujui superwomen 2, ila nahisi kama wewe ni mkweli vile, ila tatizo lipo kwa mumeo, nahisi atakuwa anachepuka. Next time mmburuze naye akapime, akome kujidanganya kwa kupima by proxy.
 
Mimi huwa napenda Sana kucheki afya yangu na hasa vipimo vikubwa Kama H.I.V ninaweza kucheki mara 3 kwa mwaka au chini ya hapo. Ila mwenzagu yeye ni mbishi wa kupima H IV balaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani hata kama alishawahi kupima.
Ukitaka kosana nae mwambie twende tukapime.
Nikimwambia nimetoka kucheki afya. Utasikia naomba majibu haraka. Utafikiri kapima yeye.
Ataanza sasa kuniambia. Ohoo utakuwa unachepuka, kwa nini unapima mara kwa mara. Sijui hvi na vile.
Mpaka anakasirika. Na me wala sichepuki.ila napenda tu kujua afya yangu.
Mara anishauri nisiwe napima mara kwa mara. Na me napenda.
Je ni kwani mtu kucheki afya mara kwa mara ni uhuni???
20180129_071618.jpg

Mtulie shaka huyo. Hana iman na matendo na majibu yake. Pambana nae afike kituoni kwa ajili ya kupimwa
 
Lazima mmoja wenu anachepuka, hakuna sababu ya kupima HIV mara tatu kwa mwaka kama wote mnaaminiana na mnaheshimu ndoa. Sikujui superwomen 2, ila nahisi kama wewe ni mkweli vile, ila tatizo lipo kwa mumeo, nahisi atakuwa anachepuka. Next time mmburuze naye akapime, akome kujidanganya kwa kupima by proxy.
Huo mpango wa kumpeleka kupima ninao sana. Ila Sijamwambi. Lazima ataenda
 
Ni vyema kucheki mara kwa mara,regardless....inaweza kusaidia kwa PEP ikitokea ajali au chochote sababu utakuwa unafahamu afya yako kwa ukaribu tayari
 
Back
Top Bottom