Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
- Thread starter
-
- #21
Hivihivi huweziUkimwi nimewahi kupima mara 2 tu tena kwa sababu nilikuwa nampeleka mama watoto clinic na nyingine nilikuwa namtolea damu baba yangu wakat anaumwa
Hata UTI sipimi, nakunywa dawa tu, anayepima mwingine....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mpo wengi
Hivihivi huwezi
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata UTI sipimi, nakunywa dawa tu, anayepima mwingine....
Mi spendi tobolewa na sindano
Loh. [emoji23][emoji23]Sina huo mpango kbs
Naendelea kupiga dry tuLoh. [emoji23][emoji23]
Mimi huwa napenda Sana kucheki afya yangu na hasa vipimo vikubwa Kama H.I.V ninaweza kucheki mara 3 kwa mwaka au chini ya hapo. Ila mwenzagu yeye ni mbishi wa kupima H IV balaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani hata kama alishawahi kupima.
Ukitaka kosana nae mwambie twende tukapime.
Nikimwambia nimetoka kucheki afya. Utasikia naomba majibu haraka. Utafikiri kapima yeye.
Ataanza sasa kuniambia. Ohoo utakuwa unachepuka, kwa nini unapima mara kwa mara. Sijui hvi na vile.
Mpaka anakasirika. Na me wala sichepuki.ila napenda tu kujua afya yangu.
Mara anishauri nisiwe napima mara kwa mara. Na me napenda.
Je ni kwani mtu kucheki afya mara kwa mara ni uhuni???
Huo mpango wa kumpeleka kupima ninao sana. Ila Sijamwambi. Lazima ataendaLazima mmoja wenu anachepuka, hakuna sababu ya kupima HIV mara tatu kwa mwaka kama wote mnaaminiana na mnaheshimu ndoa. Sikujui superwomen 2, ila nahisi kama wewe ni mkweli vile, ila tatizo lipo kwa mumeo, nahisi atakuwa anachepuka. Next time mmburuze naye akapime, akome kujidanganya kwa kupima by proxy.
Haya bwana. Kuwa makiniNaendelea kupiga dry tu
huwa napiga demu alafu natuma akapime baada ya miezi 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Nimempangia siku hiyo.View attachment 686773
Mtuli shaka huyo. Hana iman na na tend na majibu yake. Pambana nae afike kituoni kwa ajili ya kupimwa
We kibokohuwa napiga demu alafu natuma akapime baada ya miezi 3
Kuna wengine hawaambukizwi kirahisihuwa napiga demu alafu natuma akapime baada ya miezi 3
Bahati yake ila mm mwenyewe sina sema kupima ndo siende nitaenda pima kitu ambacho ukikutwa nacho Hakuna dawa si uneenda jitafutia matatizo mwenyeweKuna wengine hawaambukizwi kirahisi
AsanteNi vyema kucheki mara kwa mara,regardless....inaweza kusaidia kwa PEP ikitokea ajali au chochote sababu utakuwa unafahamu afya yako kwa ukaribu tayari