Wana jf naomba kujuzwa ni wapi nitapata clinic ya kupima macho kwa kiwango kizuri. Mzee wangu anajitaji huduma ya kupimwa macho haoni vizuri. Natanguliza shukurani!
Nenda Msimbazi eyes center, iko pale Kariakoo kituo cha Msimbazi ukiwa unaelekea au unatokea Faya...
Hawa wana specialist kutoka CCBRT yuko njema sana.