Kupima magonjwa yote

Kupima magonjwa yote

said reuben

Member
Joined
Dec 22, 2018
Posts
62
Reaction score
28
Samahan jamani nimecheki magonjwa kibao sikutwi na tatizo lakin mtu bado najihisi naumwa, ukimwi ndo karibu mara nane sasa tangu mwaka uanze lakini hamna kitu nataka kujua nikipimo gani unaweza pima magonjwa yote na ni sh ngap??
 
Nilipata shida kama yako siku chache zilizopita nilipima hadi nikachoka ila baadae nikagundua nina kitu kama depression flani tiba nayoifanya ni mazoezi na kupumzika mapema najiepusha kama unaweza punguza au acha kabisa matumizi ya vidonge binafsi niliacha kabisa matumizi ya vidonge hata niliposikia maumivu nilijiambia yataisha tu basi hadi yanaisha pia jitahidi kusali sana na kufanya mazoezi
Samahan jamani nimecheki magonjwa kibao sikutwi na tatizo lakin mtu bado najihisi naumwa, ukimwi ndo karibu mara nane sasa tangu mwaka uanze lakini hamna kitu nataka kujua nikipimo gani unaweza pima magonjwa yote na ni sh ngap??
 
Hakuma kipimo cha magonjwa yote. Wapo wataalamu wa tiba mbadala huwa wanasema kipimo chao kile cha kushika mkononi kinaweza kuomnesha magonjwa yote, nao ni waongo kama waongo wengine.
 
Back
Top Bottom