hahaaaaMgombea unajinadi,Haya utapata Wateja PM
Njoo kwangu nna vipimoNjoo tu au nikutumie damu yangu
Hata kwenda tu mimi siwezi labda nifungwe kamba.Nawe unakimbiaga majibu
Sasa mtu unapimaje huku ukijua hamna tiba ...Mimi nimeshaenda zaidi ya mara 100 kupima ila sijawahi kuchukua majibu!! Sitaki kufa kwa pressure kabla ya siku zangu za kuishi...
Sema tafiti za chinichini zinasema ukimwi kama umefubaa hivi,sio kama ule wa zamani.So tusiogopeBasi usiogope tutaenda wote na mimi
Mkojo hadi ugonge chupi mh![emoji15] [emoji15]Mkojo tu
Naziskia tu mtaani..hizi we hujawi kuziskia kwani?Nani alikuambia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe unayaamini hayo majibu au unahisi sio yaako ?Ndicho kilichonifanya nikae miaka miwili bila kupima,,sasa sitapima kabisa bali kuwa mwangalifu tu
Yes vinadondokaMkojo hadi ugonge chupi mh![emoji15] [emoji15]
Unakojoa vitenesi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]