Kupima ni ishu nyie

Kupima ni ishu nyie

Toka jana najisikia vibaya ,mara kizunguzungu,,yaan nikawa hovyo hovyo tu,leo nikaona niende nikapime hakuna namna ,,kufika hospital nikamuelezea dokta navyoumwa ,akaniambia nikapime maralia,UTI na typhoid na frp

Nikaenda kupina maabara,,kule maabara nikamuambia yule wa maabara anipime na HiV ,akaniambia uende kule kwenye chumba maalumu cha kupimia HIV tu ,nikamuambia sitaki ushauri mimi unipime tu ahahahaha au nipe kipimo ntajipima mwenyewe.
Akanikubalia kunipima mwenyewe baadae majibu yanatoka sina maralia,UTI, nna typhoid ila sio kali sana

Baadae yule wa maabara akaniita nikachukue majibu ya ngoma,aisee sikuwa na wasiwasi kivile lakini ka moyo kalienda kasi kidogo nikasema liwalo na liwe tu ,,akaniambia hongera upo safi endelea kujilinda
View attachment 691046
Kipimo hicho ,,ila kupima ni kazi halaf unajua tiba hakuna mi nna muda miaka miwili sijapima kabisa,ndio leo nimepima nashangaa safari hii sijaogopa sana kiukweli mara zingine nilikua naogopa mpaka mkojo. unagonga chupi.sipimi tenaa ahahah
Nimepima nna safari zangu nikikamilisha tu nasepa,sitaki nianze hofu ya kuanza kuogopa majibu huko

Wasalaam

Hicho kipimo sio confirmation kuwa huna HIV, HIV/AIDS ni complicated kuliko unavyodhani. Kuna watu wanakuwa na HIV lakini wakipimwa majibu ni -:

What is the window period for an HIV test?

The window period is time between potential exposure to HIV infection and the point when the test will give an accurate result.

During the window period a person can be infected with HIV and be very infectious but still test HIV negative.

The window period for a 4th generation antigen/antibody test is four weeks. At this time 95% of infections will be detected (see Figure 7). There is a three month window period after exposure, for the confirmatory result to detect more than 99.9% of infections.

Kuna watu window periods zinaenda mpaka zaidi ya mwaka.

See What is the window period for an HIV test? | Guides | HIV i-Base

Tanzania kama ilivyo America, kuna watu wengi wana maambukizi ya HIV lakini hawajijui: About 15% of Americans with HIV don't know they're infected, CDC report says
 
Nishawah kupima na vipimo vyote vya HIV ,kwanini wengine vinasoma vimistari viwili,,basi nna damu nzuri au sio
 
Toka jana najisikia vibaya ,mara kizunguzungu,,yaan nikawa hovyo hovyo tu,leo nikaona niende nikapime hakuna namna ,,kufika hospital nikamuelezea dokta navyoumwa ,akaniambia nikapime maralia,UTI na typhoid na frp

Nikaenda kupina maabara,,kule maabara nikamuambia yule wa maabara anipime na HiV ,akaniambia uende kule kwenye chumba maalumu cha kupimia HIV tu ,nikamuambia sitaki ushauri mimi unipime tu ahahahaha au nipe kipimo ntajipima mwenyewe.
Akanikubalia kunipima mwenyewe baadae majibu yanatoka sina maralia,UTI, nna typhoid ila sio kali sana

Baadae yule wa maabara akaniita nikachukue majibu ya ngoma,aisee sikuwa na wasiwasi kivile lakini ka moyo kalienda kasi kidogo nikasema liwalo na liwe tu ,,akaniambia hongera upo safi endelea kujilinda
View attachment 691046
Kipimo hicho ,,ila kupima ni kazi halaf unajua tiba hakuna mi nna muda miaka miwili sijapima kabisa,ndio leo nimepima nashangaa safari hii sijaogopa sana kiukweli mara zingine nilikua naogopa mpaka mkojo. unagonga chupi.sipimi tenaa ahahah
Nimepima nna safari zangu nikikamilisha tu nasepa,sitaki nianze hofu ya kuanza kuogopa majibu huko

Wasalaam
Ulipa kutaka kujua afya yako au kuna kitu kilikusukuma kupima? Au ulikuwa na hofu Gani hadi ujilipue kwa kupima nini hasa ulikuwa unategemea katika vipimo hivyoo? [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kama ulishawahi kupima halafu ukafanya ngono hapa katikati, hakuna guarantee kwamba wewe huna maabukizi ya HIV.
 
Sawa nnao,happy!!ahahah
Basi kila mtu anao kama ni hivyo
 
Ulipa kutaka kujua afya yako au kuna kitu kilikusukuma kupima? Au ulikuwa na hofu Gani hadi ujilipue kwa kupima nini hasa ulikuwa unategemea katika vipimo hivyoo? [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Siku nyingi tu sijapima kama miaka miwili
 
Hivo vidude nilivijulia nlipopataga demu nesi,,cku kaja magetoni niruke nae c ndo akatoa hvo vidude et tupime ngoma kwnza la sivyo hamna show,,mtt wa kiume nkajikaza tukapima tukaskizia majibu tuko poaa

Aisee baada ya pale nilimkaza show ya kibabe sana mpk hatonisahau yule nesi mana alinirushia sna stimu na mambo yake ya kutoboana kutoa damu asee
 
Natamani ningekuona sura yako D sekunde chache kabla ya kupewa majibu. Bila ya shaka ulizeeka ghafla na sura kujaa hofu kubwa. 😵😵😵

Toka jana najisikia vibaya ,mara kizunguzungu,,yaan nikawa hovyo hovyo tu,leo nikaona niende nikapime hakuna namna ,,kufika hospital nikamuelezea dokta navyoumwa ,akaniambia nikapime maralia,UTI na typhoid na frp

Nikaenda kupina maabara,,kule maabara nikamuambia yule wa maabara anipime na HiV ,akaniambia uende kule kwenye chumba maalumu cha kupimia HIV tu ,nikamuambia sitaki ushauri mimi unipime tu ahahahaha au nipe kipimo ntajipima mwenyewe.
Akanikubalia kunipima mwenyewe baadae majibu yanatoka sina maralia,UTI, nna typhoid ila sio kali sana

Baadae yule wa maabara akaniita nikachukue majibu ya ngoma,aisee sikuwa na wasiwasi kivile lakini ka moyo kalienda kasi kidogo nikasema liwalo na liwe tu ,,akaniambia hongera upo safi endelea kujilinda
View attachment 691046
Kipimo hicho ,,ila kupima ni kazi halaf unajua tiba hakuna mi nna muda miaka miwili sijapima kabisa,ndio leo nimepima nashangaa safari hii sijaogopa sana kiukweli mara zingine nilikua naogopa mpaka mkojo. unagonga chupi.sipimi tenaa ahahah
Nimepima nna safari zangu nikikamilisha tu nasepa,sitaki nianze hofu ya kuanza kuogopa majibu huko

Wasalaam
 
Sidhani kama kuna mtu muoga ngoma kama mimi hapa duniani!....Yaani mimi nikikumbuka ngoma dushe yangu huwa inalala miezi sita straight!!
 
Back
Top Bottom