Kupima ni ishu nyie

Kupima ni ishu nyie

Huwa namtumia mke wangu akipata mimba watampima wakimkuta salama najua na mimi nipo safe
 
Toka jana najisikia vibaya ,mara kizunguzungu,,yaan nikawa hovyo hovyo tu,leo nikaona niende nikapime hakuna namna ,,kufika hospital nikamuelezea dokta navyoumwa ,akaniambia nikapime maralia,UTI na typhoid na frp

Nikaenda kupina maabara,,kule maabara nikamuambia yule wa maabara anipime na HiV ,akaniambia uende kule kwenye chumba maalumu cha kupimia HIV tu ,nikamuambia sitaki ushauri mimi unipime tu ahahahaha au nipe kipimo ntajipima mwenyewe.
Akanikubalia kunipima mwenyewe baadae majibu yanatoka sina maralia,UTI, nna typhoid ila sio kali sana

Baadae yule wa maabara akaniita nikachukue majibu ya ngoma,aisee sikuwa na wasiwasi kivile lakini ka moyo kalienda kasi kidogo nikasema liwalo na liwe tu ,,akaniambia hongera upo safi endelea kujilinda
View attachment 691046
Kipimo hicho ,,ila kupima ni kazi halaf unajua tiba hakuna mi nna muda miaka miwili sijapima kabisa,ndio leo nimepima nashangaa safari hii sijaogopa sana kiukweli mara zingine nilikua naogopa mpaka mkojo. unagonga chupi.sipimi tenaa ahahah
Nimepima nna safari zangu nikikamilisha tu nasepa,sitaki nianze hofu ya kuanza kuogopa majibu huko

Wasalaam
Hiyo miaka miwili yote unagegedwa??
 
last time nilipima kwa sbb boya mmoja alidai nmemuua kwa kumpa ngoma prior to HIV test kwa sbb ya mawazo kwamba sina kid, shule haijaisha nilijikuta nakuwa mlevi kinoma zile initial dalili za ngoma nilikuwa nazipata, two lymph node swelling pande za shingo zilikuja niliamua kupima nkakuta nko okay... baada ya wiki nkacheza faulo mbaya now najipa moyo tu, sipimi tena.
 
Back
Top Bottom