Kupima ni ishu nyie

Kupima ni ishu nyie

Hivi nanzaje kwenda kupima ilihali najua kabisa ninachoenda kukipima akina tiba..! Iko ndio kihelehele cha kutafuta kufa kwa kihoro mapema kabla ya siku zako.. Wenye roho zenu mpimage tu
 
Tumia kondomu dada
Toka jana najisikia vibaya ,mara kizunguzungu,,yaan nikawa hovyo hovyo tu,leo nikaona niende nikapime hakuna namna ,,kufika hospital nikamuelezea dokta navyoumwa ,akaniambia nikapime maralia,UTI na typhoid na frp

Nikaenda kupina maabara,,kule maabara nikamuambia yule wa maabara anipime na HiV ,akaniambia uende kule kwenye chumba maalumu cha kupimia HIV tu ,nikamuambia sitaki ushauri mimi unipime tu ahahahaha au nipe kipimo ntajipima mwenyewe.
Akanikubalia kunipima mwenyewe baadae majibu yanatoka sina maralia,UTI, nna typhoid ila sio kali sana

Baadae yule wa maabara akaniita nikachukue majibu ya ngoma,aisee sikuwa na wasiwasi kivile lakini ka moyo kalienda kasi kidogo nikasema liwalo na liwe tu ,,akaniambia hongera upo safi endelea kujilinda
View attachment 691046
Kipimo hicho ,,ila kupima ni kazi halaf unajua tiba hakuna mi nna muda miaka miwili sijapima kabisa,ndio leo nimepima nashangaa safari hii sijaogopa sana kiukweli mara zingine nilikua naogopa mpaka mkojo. unagonga chupi.sipimi tenaa ahahah
Nimepima nna safari zangu nikikamilisha tu nasepa,sitaki nianze hofu ya kuanza kuogopa majibu huko

Wasalaam
 
Ahhahahaahhaha acha ungese
kushkana makalio inakujaje kujaje

Si unajuwa katika hali ya kufundishana kuna ile mtu unajisahau au kwa makusudi tu unataka kumpima mwanafunzi unashika kalio kiushikaji ili kuona mwanafunzi ata react vipi.
 
Toka jana najisikia vibaya ,mara kizunguzungu,,yaan nikawa hovyo hovyo tu,leo nikaona niende nikapime hakuna namna ,,kufika hospital nikamuelezea dokta navyoumwa ,akaniambia nikapime maralia,UTI na typhoid na frp

Nikaenda kupina maabara,,kule maabara nikamuambia yule wa maabara anipime na HiV ,akaniambia uende kule kwenye chumba maalumu cha kupimia HIV tu ,nikamuambia sitaki ushauri mimi unipime tu ahahahaha au nipe kipimo ntajipima mwenyewe.
Akanikubalia kunipima mwenyewe baadae majibu yanatoka sina maralia,UTI, nna typhoid ila sio kali sana

Baadae yule wa maabara akaniita nikachukue majibu ya ngoma,aisee sikuwa na wasiwasi kivile lakini ka moyo kalienda kasi kidogo nikasema liwalo na liwe tu ,,akaniambia hongera upo safi endelea kujilinda
View attachment 691046
Kipimo hicho ,,ila kupima ni kazi halaf unajua tiba hakuna mi nna muda miaka miwili sijapima kabisa,ndio leo nimepima nashangaa safari hii sijaogopa sana kiukweli mara zingine nilikua naogopa mpaka mkojo. unagonga chupi.sipimi tenaa ahahah
Nimepima nna safari zangu nikikamilisha tu nasepa,sitaki nianze hofu ya kuanza kuogopa majibu huko

Wasalaam
Duh.! Tangazo lako limekaa vizuri kweli jiandae na PM za vidume ila usisahau nauza majeneza bei chee!
 
Hongera Kwa Kupima na hongera kwa kuwa Negative...vijana Was haja wazee was Kavu kavu Ulimi umewatokaje[emoji115] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji6]
 
Back
Top Bottom