Kupima ni ishu nyie

Kupima ni ishu nyie

Mi napenda Sana sana Kupima Aisee...
Hata Awe Baamedi Au Sijui Kutoka wapi lazima nimpimishe Aisee Nani anapenda kufa Mapema kwa kujitakia??
 
Hongera Kwa Kupima na hongera kwa kuwa Negative...vijana Was haja wazee was Kavu kavu Ulimi umewatokaje[emoji115] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji6]
Wakapimee
 
Dah... Malaria ndiyo inaongoza kwa kukatisha maisha.....BTW kuna njia zaidi ya milioni moja za MTU KUFA...[emoji87]
 
Hicho kipimo cha kuedit hatukiamini unaweza ukachukua cha mtu mwingine ukasema ni cha kwako...

Anyways play safe
 
Back
Top Bottom