HelcopterChopa
Member
- Sep 13, 2023
- 35
- 46
Pole na hongera ya nguvu kwa majukumu ya leo ndugu mpamabanaji na muwajibikaji.
Langu ni moja tu, nalo ni hili. Hivi mtindo wa kujipima mathalani, unanunua suruali au sketi halafu eti unapima saizi ya kiuno chako kwa kuzungushia kiuno cha ile suruali shingoni mwako ili kujiridhisha kama inakutosha ama lah.
Je, chimbuko la ubunifu huu ni wapi na kipimo hicho huwa ni sahihi?
Asante.